CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

1) Naona mmeishiwa hoja zote na sasa mnarudi nyuma kudai yale ambayo mmeshashindwa.
2)Kipindi cha uchaguzi mlichangisha fedha kwa njia ya mtandao.Zilipatikana shilingi ngapi ?
 
KA

Figisu figisu zitaondolewa n katiba mpya nafikiri uliona matokeo
 
Ngoja tuone wale watoto maarufu kwa wizi wa fedha hapo lumumba fc watakavyoumia roho
 
Ukuta siyo kitu cha siku moja poleni sana kukupiga kwata mchana kweupe barabarani
Mbowe keshawachezea akili tayari nanyi mmebadili gia, sio siku moja kwa hiyo maandamano mliyoshindwa tarehe 1.10.2016 yalikuwa ya siku ngapi?
Chadema kifo cha mende, hiyo katiba mpya haiwahusu, acheni unafiki.
 
"Katiba pendekezwa" nimeshtuka kidogo na hilo neno, katiba pendekezwa ni katiba ya Chenge, kwa hiyo CDM sasa wanaipigia upatu kitu walichokigomea na hadi wakasusia bunge la katiba.
Huyo Mashinji hajielewi anazungumza nini au mwandishi ni kanjanja.
 
1) Naona mmeishiwa hoja zote na sasa mnarudi nyuma kudai yale ambayo mmeshashindwa.
2)Kipindi cha uchaguzi mlichangisha fedha kwa njia ya mtandao.Zilipatikana shilingi ngapi ?
Kwa hiyo wewe hutaki katiba mpya????
 
Ili ofisi yote ikamilike inahitajika tsh ngapi ?
 
hii ni ajenda ya zitto na ACT yake!
tafuteni ajenda yenu mlikua bize na ukuta mkasahau mambo ya msingi kama haya!
 
Hakika hilo suala ndio kunaweza kuwaamsha wananchi,maana katika mambo ambayo ni sensitive kwa taifa ni Katiba. Na hapa ndipo CCM wanakoponeaga.
 
hii ni ajenda ya zitto na ACT yake!
tafuteni ajenda yenu mlikua bize na ukuta mkasahau mambo ya msingi kama haya!
Sawa tu ilimradi lina maslahi kwa taifa.Ila ikumbukwe hili vuguvigu lina waasisi wake ambao ni UKAWA hata kabla ya ACT.
 
Mbowe keshawachezea akili tayari nanyi mmebadili gia, sio siku moja kwa hiyo maandamano mliyoshindwa tarehe 1.10.2016 yalikuwa ya siku ngapi?
Chadema kifo cha mende, hiyo katiba mpya haiwahusu, acheni unafiki.
Yasubiri povu lisikutoke
 
"Katiba pendekezwa" nimeshtuka kidogo na hilo neno, katiba pendekezwa ni katiba ya Chenge, kwa hiyo CDM sasa wanaipigia upatu kitu walichokigomea na hadi wakasusia bunge la katiba.
Huyo Mashinji hajielewi anazungumza nini au mwandishi ni kanjanja.
Ile ya chenge ilikiwa ni yawananchi? Jiongeze
 
Lowasa aliikataa rasimu ya katiba....alipiga kura ya hapana
 
Chadema wameshaanza hadaa,kukurupuka usingizini na matamko koko
Bunge limeshapitisha katiba mpya
Tunachosubiri ni kura ya ndio au hapana
Huyo Mashinji atafanya la maana kuwashawishi wanachama wake wajiandae kuikataa katiba mpya,lakini kuwaambia wanachama eti waanze kudai katiba pendekezwa anawakanganya tu,mwishowe watafeli tu kama ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…