Katiba sio tatizo tatizo ni kufanya hoja hii kuwa ya chama furahi ndo mwanzo wa kutuvurungaMkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
Aibu sana aisee ! Mabunduki yana kutuuuuu !!!!Ukuta siyo kitu cha siku moja poleni sana kukupiga kwata mchana kweupe barabarani
Sio dampo ni genge LA lowasaChama dampo la mafisadi waongooo na wanafiki
Du genge LA lowasaAibu sana aisee ! Mabunduki yana kutuuuuu !!!!
Mbona mapovu mengi?Chadema na maendeleo ni.sawa na kulala na mama mkwe kitanda kimoja,wao ni kelele NA mambo ya kijinga tu
Ukimpiga shetani usimuangalie usoniMbona mapovu mengi?
Wenye vyeti feki utawaona tu likisha anza zoezi la uhakiki. Wakati wenzio wanasoma wewe ulikuwa ktk maandamano, unaona hasara zake, huna cheti.Afadhali CHADEMA wadai katiba mpya kwa maana watumishi wa umma tumechoshwa na uhakiki wa kila uchao utadhani sisi ndo tunaifanya nchi kuwa maskini.
mbowe anastaafu lini uenyekiti?Mkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
CDM lengo lao ni Urais tu hamna mpango wa Katiba wala nini! Wasingekimbia Bungeni wakati wa mjadala wa Katiba Mpya mwaka 2014 na kwenda mnadani kama wangekuwa na dhamira hiyo!! Shtukeni jamani mnadanganywaaaaaaa!!Mkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
Taratibu utaelewa tu, huu sio wakati wa kutafuta kick, ni wakati wa kazi tuNawe rudi shule ujifunze kusoma ndio usome tena katiba ya chadema ndio urudi hapa
Narudia tena (nasitachoka kurudia) unajitia uwandawazimu.Jitafakari kisha ujiongeze kidogo
Umeishiwa hojaDu genge LA lowasa
kwani hizo 50m kila kijiji ni ahadi iliyotolewa na CDM au CCM?Na mchakato ukianza wanajichetua.
Hizo pesa si bora ziende kwenye mpango wa 50M kwa kila kijiji tu.
CDM lengo lao ni Urais tu hamna mpango wa Katiba wala nini! Wasingekimbia Bungeni wakati wa mjadala wa Katiba Mpya mwaka 2014 na kwenda mnadani kama wangekuwa na dhamira hiyo!! Shtukeni jamani mnadanganywaaaaaaa!!