CHADEMA Kuchukua hatuwa za kisheria baada ya Mhe. Lema kushikwa kinyume na utaratibu

Nchi ya hovyo sana hii! Hapo ni mbunge polisi wanamzuia wanavyotaka! Hivi rais hajiulizi hali ikoje kwa mwananchi wa kawaida?

Polisi wamekuwa wakatili sana chini ya utawala huu! Sheria mkononi. Polisi anaweza akakusweka ndani akitaka na kuamuru usipewe dhamana kwa manufaa yake binafsi ikiwemo rushwa na unyanyasaji wa raia.
#BureKabisa
 
Halafu kuna middle class humu wanazungumzia suala la uchaguzi mwaka huu wakati wote tunaelewa kuwa HAKI haitakuwepo,mmmmm hivi yule mvaa mavazi ya kijani aliyeongea kuhusu kuuliwa kwa wapinzani pale Iringa nadhani bado yupo mahabusu kwa kauli ile ,maana ni kosa la kijinai kutishia kuuwa au sheria hii ni kwa upande wa pili tu ?/.
 
Niko tayari kusahihishwa......
Naona kama vile kuna mitego inawekwa ili tunaswe na baadae watu wa duniani waanze kutuita jina baya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…