CHADEMA kufanya Kikao Maalum kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa

Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.

  • Screenshot_2024-09-10-17-27-42-1.png
    Screenshot_2024-09-10-17-27-56-1.png
 
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa

Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.

Mungu baba Ibariki CHADEMA
 
hapo utawasikia wazee wa khaki ooh! "wanakutana kupanga nchi isitawalike" si ajabu nao wakatimba hapo wakidai wana taarifa za intelenjisia.!
Polisi Tanzania ni duni sana!
 
Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
 
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa

Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.

MIMI NI MWANA CCM LAKINI TEMPORARY KWA UDHARURA HUU NAUNGANA NA CHADEMA!, KUTOA UHAI KISA SIASA HAPANA HAPANA HAPANA!
 
Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Wa kwanza bwana uhuru
 
MIMI NI MWANA CCM LAKINI TEMPORARY KWA UDHARURA HUU NAUNGANA NA CHADEMA!, KUTOA UHAI KISA SIASA HAPANA HAPANA HAPANA!
Mangula aliwekewa sumu ndani ya vikao vya ccm, huko uliko kuua ni jambo la kawaida
 
hapo utawasikia wazee wa khaki ooh! "wanakutana kupanga nchi isitawalike" si ajabu nao wakatimba hapo wakidai wana taarifa za intelenjisia.!
Hata shetani wanayemtumikia ana mwisho, niswala la muda tu....
 
Mangula aliwekewa sumu ndani ya vikao vya ccm, huko uliko kuua ni jambo la kawaida
Lissu yupo wapi?, mbona yupo kimya kwenye kukemea haya?, CCM, Ni salama suala la sumu ni dhana potofu tu,kuna kitu inaitwa food poison / kuchanganya milo ambayo hujaizoea!
 
Chama kikuu halali kinachoshinda chaguzi zote ila muumiani wa ccm wanakipoka ushindi kwa kutumia majambazi yavaayo unifomu.
 
Back
Top Bottom