CHADEMA kufanya Kikao Maalum kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Dogo unavyoandika hivi inaonekana umekalia kitu kigumu kilichonyooka chenye ncha butu laini.

Nyau ww
 
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa

Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.

Lisu atahudhuria? Tunaomba msilete porojo kuwa hakuhudhuria kwa udhuru

Porojo zenu hazitakubalika
 
Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Maskini ya Mungu ukute kula yako tu inakupa tabu halafu unajipa umuhimu mkubwa, eti tuna watu wetu. Wewe na nani????😂😂😂😂
 
Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Maskini ya Mungu ukute kula yako tu inakupa tabu halafu unajipa umuhimu mkubwa, eti tuna watu wetu. Wewe na nani????
 
Lissu yupo wapi?, mbona yupo kimya kwenye kukemea haya?, CCM, Ni salama suala la sumu ni dhana potofu tu,kuna kitu inaitwa food poison / kuchanganya milo ambayo hujaizoea!
Umemsikia Majaliwa au Mpango wakisema lolote kuhusu kuuliwa kwa Ally Kibao na Dola ?
 
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa

Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.
CHADEMA waje kivingine... Jitihada zinafanyika kuhamishia drama za utekaji upande wao...

Tuliambiwa mjumbe hauwawi...lakini kwa sasa ukweli ni tofauti!
 
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa

Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.

Nahisi watazingirwa
 
Back
Top Bottom