Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu baba Ibariki CHADEMAKikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa
Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.
Polisi Tanzania ni duni sana!hapo utawasikia wazee wa khaki ooh! "wanakutana kupanga nchi isitawalike" si ajabu nao wakatimba hapo wakidai wana taarifa za intelenjisia.!
AmenMungu baba Ibariki CHADEMA
Huna akiliNdio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
MIMI NI MWANA CCM LAKINI TEMPORARY KWA UDHARURA HUU NAUNGANA NA CHADEMA!, KUTOA UHAI KISA SIASA HAPANA HAPANA HAPANA!Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa
Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.
Kalagabaho, kama wewe mtoto wa 2000 hutaliewa hilo nenoHuna akili
Wa kwanza bwana uhuruNdio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Mangula aliwekewa sumu ndani ya vikao vya ccm, huko uliko kuua ni jambo la kawaidaMIMI NI MWANA CCM LAKINI TEMPORARY KWA UDHARURA HUU NAUNGANA NA CHADEMA!, KUTOA UHAI KISA SIASA HAPANA HAPANA HAPANA!
Hata shetani wanayemtumikia ana mwisho, niswala la muda tu....hapo utawasikia wazee wa khaki ooh! "wanakutana kupanga nchi isitawalike" si ajabu nao wakatimba hapo wakidai wana taarifa za intelenjisia.!
UtekajiAjenda ni zipi?
Lissu yupo wapi?, mbona yupo kimya kwenye kukemea haya?, CCM, Ni salama suala la sumu ni dhana potofu tu,kuna kitu inaitwa food poison / kuchanganya milo ambayo hujaizoea!Mangula aliwekewa sumu ndani ya vikao vya ccm, huko uliko kuua ni jambo la kawaida
Kwa maagizo maalum toka Chura Kiziwi.hapo utawasikia wazee wa khaki ooh! "wanakutana kupanga nchi isitawalike" si ajabu nao wakatimba hapo wakidai wana taarifa za intelenjisia.!