Dogo unavyoandika hivi inaonekana umekalia kitu kigumu kilichonyooka chenye ncha butu laini.Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Sugu atakuwepo?Utekaji
Lisu atahudhuria? Tunaomba msilete porojo kuwa hakuhudhuria kwa udhuruKikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa
Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.
Maskini ya Mungu ukute kula yako tu inakupa tabu halafu unajipa umuhimu mkubwa, eti tuna watu wetu. Wewe na nani????ππππNdio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Maskini ya Mungu ukute kula yako tu inakupa tabu halafu unajipa umuhimu mkubwa, eti tuna watu wetu. Wewe na nani????Ndio maandalizi ya kuvamia vituo vya Polisi? Hawataweza, ndani ya kamati kuu tuna watu wetu karibu wanne, watatupa habari, wataingia na vinasa sauti na kamera za video za siri
Umemsikia Majaliwa au Mpango wakisema lolote kuhusu kuuliwa kwa Ally Kibao na Dola ?Lissu yupo wapi?, mbona yupo kimya kwenye kukemea haya?, CCM, Ni salama suala la sumu ni dhana potofu tu,kuna kitu inaitwa food poison / kuchanganya milo ambayo hujaizoea!
Heche asipohudhuria pia Chadema mna la kujibuSugu atakuwepo?
Huu ndio UZALENDO ππΌππΌππMIMI NI MWANA CCM LAKINI TEMPORARY KWA UDHARURA HUU NAUNGANA NA CHADEMA!, KUTOA UHAI KISA SIASA HAPANA HAPANA HAPANA!
CHADEMA waje kivingine... Jitihada zinafanyika kuhamishia drama za utekaji upande wao...Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa
Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.
Nahisi watazingirwaKikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa
Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitafanyika Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa tisa alasiri.
Mm sio chademaHeche asipohudhuria pia Chadema mna la kujibu
Dunia Inaangalia usanii wenu
Lisu awepo na Heche awepo wasipokuwepo huo ni usanii na movie ya kijinga isiyokubalika
Sama ueleweSugu atakuwepo?