Heko CDM na UDOM! siku zote vijana huwa nawaambia "Vuguvugu la mabadiliko ya kiuchumi katika nchi yeyote ile duniani huanzia vyuo vikuu, hii ni ishara tosha kabisa ya dalili njema zijazo hata kama gharama yake itakuwa kubwa, lakini watakaobaki watakuwa mashahidi na watasema nani alikuwa anavuruga nchi yetu.
Jana wanafunzi wa south korea rafiki yangu kaniambia, wameazimisha kukumbuka mauaji ya wanafunzi waliokuwa wakipigania taifa lao dhidi utawala dhalimu wa kibabe, na walikuwa ndo viongozi wakuu wa mbele kukomboa taifa lao. Big up UDOM.