Maelfu wakusanyika kwenye ufunguzi wa tawi la CDM- UDOM, Baada ya ujio wa KAMANDA LA UKWELI- LEMA G, na kuhutubia kwa kutoa uozo wa CCM, takribani watu zaidi ya ishirini wamerudisha kadi za CCM na kupewa kadi mpya za CDM wakiwemo wazee wawili wenye miaka zaidi ya 50, mbali na hayo watu wengine wameahidi kurudisha kadi za chama tawala na kuchukua mpya za CDM, uzinduzi umefanyika salama, na sasa UDOM ina tawi lenye zaidi ya wanachama elfu nane, sawa na intake moja ya chuo cha Dom kwa mwaka mmoja, hali inavyoonesha, CCM wana wakati mgumu katika uchaguzi wa 2015. Kwani CDM kwa sera zao, CCM hawatatoka kamwe hapo mbeleni labda wajipange zaidi.....!