AK[AKILIPEVU]unajua nini m2 wangu,ZK kazibwa mdomo hivyo hanakauli kama awali.ila tukirudi kwenye uzinduzi wa CDM hiyo inati moyo kwani waswahili husema akuanzae mmalize ccm walisha wahi udom ila sasa kwa nguvu na mwendo wa hatari 2metia mguu,wataanza kudai kuwa 2nataka kuanzisha vita kama sio vurugu.naomba mwendo na juhudi viendelee.BIG UP.Amechukua nafasi ya ZITTO KABWE aliyetekwa na CCM!
AK[AKILIPEVU],ZK (Zito Kabwe) kazibwa mdomo hivyo hanakauli kama awali..
G Lema akamtwanga swali Wasira je ungependa watoto wako waongozwe na chadema uku kukiwa na haki na amani ama mafisadi huku kukiwa na unyonyaji mkubwa? Wasira akashindwa kujibu!
Hongera sana cdm! Taifa litakombolewa na vijana wakawaida na wasomi wazee na wachawi waendelee kukaa ccm lakini wazee wenye hekima wote milango ikowazi cdm![/QUOTE
Tuwekee picha pse
Maelfu wakusanyika kwenye ufunguzi wa tawi la CDM- UDOM, Baada ya ujio wa KAMANDA LA UKWELI- LEMA G, na kuhutubia kwa kutoa uozo wa CCM, takribani watu zaidi ya ishirini wamerudisha kadi za CCM na kupewa kadi mpya za CDM wakiwemo wazee wawili wenye miaka zaidi ya 50, mbali na hayo watu wengine wameahidi kurudisha kadi za chama tawala na kuchukua mpya za CDM, uzinduzi umefanyika salama, na sasa UDOM ina tawi lenye zaidi ya wanachama elfu nane, sawa na intake moja ya chuo cha Dom kwa mwaka mmoja, hali inavyoonesha, CCM wana wakati mgumu katika uchaguzi wa 2015. Kwani CDM kwa sera zao, CCM hawatatoka kamwe hapo mbeleni labda wajipange zaidi.....!