Waachane na kushiriki uchaguzi wapambane na slogan yao ambayo ni ya kiutapeli.Watanzania wameikataaSasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
mwenye kujua content ya maadili ya uchaguzi plz ailete hapa tuone kuna ukweli au uongo uongo usio tekelezwa.Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.

Hayo maadili yamefuata sheria kama inavyotaka au yamefuata maneno ya ccm ndio watu wafuate?Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
sasa mbona akina Nshala wanalialia wanapoambiwa hamjasaini hamtashiriki? Kwakuwa sion dalili ya reforms kwenda kufanyika Mimi nilidhsni sasa chura kapigwa teke kwenye no reforms no election, nini tena?Walishasema No reform no election hujaelewa wamelenga nini hadi sasa kijana? Mnataka na notes mkariri?
Usijumlishe watanzania wote.Andika "watanzania wapumbaff kama wewe"!Waachane na kushiriki uchaguzi wapambane na slogan yao ambayo ni ya kiutapeli.Watanzania wameikataa
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Una maanisha kuwa kutakuwa na fursa nyingine ya kusaini kama mtaona mambo yanaeleweka huko mbeleni? Hamuoni kama mmecomplicate mambo hapo? Watesi wenu wanaweza kulidhia kufanya mabadiliko kama mnavyopendekeza lakini wakawanyima haki ya kufanya mikutano ya kampeni kwakuwa hamkusaini maadili ya uchaguzi; hamuoni kama ndani yenu kuna mapandikizi?Mbona hilo hata ukiwa na akili ndogo ya kawaida, linaeleweka!! Ina maana wewe mpaka umri huo ulio nao hujui maana ya kusaini? Au ninyi ndio ambao huwa mnasaini halafu baadaye mnakuja kushtuka mnaposomewa mlichosaini?
CHADEMA imejaa watu wenye akili na wenye uelewa, siyo watu wa kudanganywa na watu machawa waliokosa akili kama huyo Ramadhania. CHADEMA hakuna akina Mangungo. Kusaini ni kukubali/kuridhia kilichoandikwa. Kama hukubaliani nacho, unatakiwa kugomea kusaini. Unakuwa ni mwendawazimu, kama unasiani kuridhia, halafu baadaye unaanza kulalamikia kitu ulichosaini.
Mwenyekiti wenu Yuko ndani mkaandamane Sasa.Watanzani wamewakataaUsijumlishe watanzania wote.Andika "watanzania wapumbaff kama wewe"!
Ili kufanikisha mission yoyote,kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY. Unachofanya unaepuka kila kikwazo kitakachokukwamisha usifikie lengo. Maneno yasiwe mengi,acheni mifumo iliyopinda inyooshwe jamani.Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Wewe jamaa utakuwa ni kafupi halafu kajingajinga sana.ππππMwenyekiti wenu Yuko ndani mkaandamane Sasa.Watanzani wamewakataa
sheria ni sheria kaka hata kama ni mbaya hadi hapo itakapobadilika au kufutwa. Katiba ya sasa inampa Rais mamlaka ya kufanya hivyo anavyofanya sasa, na bahati mbaya au nzuri hata huyu Rais kaikuta iko hivyo kwa miaka 60. Kumtukana au kumlazimisha lazima aibadilishe leoleo ni kipengele ambacho kina maswali mengi sana.Hayo maadili yamefuata sheria kama inavyotaka au yamefuata maneno ya ccm ndio watu wafuate?
Swali fikirishi je anaye takiwa kusaini maadili ni mgombea ama chamaSasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Huwezi kukataa kuzaa huku unalala na mwanamke kila siku bila Condom, kama hutaki mtoto na mapenzi unaacha!
Msimamo wa Heche unajibu maswali yako yote ya Kipumbavu!
Shida yenu nyingine ni kudhani wanawake ni dhaifu sana; kudhani hivyo ni udhaifu wa kumuona mama yako ni dhaifu pamoja na yooote aliyoyafanya kwako kabla ya mimba, wakati wa mimba na baada ya kuzaliwa. Mfano, Hii katiba ni ya mwaka 1977; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli waliitumia hivihivi ilivyo kwenye chaguzi zote. Na chadema ilikuwepo miaka yoooote hiyo, na Lissu na Heche walikwenda bungeni kwa katiba hiyohiyo na Tume hiyohiyo. Lakini kwasababu safari hii Rais ni Samia (mwanamke) hatakiwi kuitumia kabisa la sivyo atakiona kama asipoibadilisha. Hakiyanani mnakosea sana na mnasababisha Rais asione umuhimu wa kuibadilisha.Mbona hilo hata ukiwa na akili ndogo ya kawaida, linaeleweka!! Ina maana wewe mpaka umri huo ulio nao hujui maana ya kusaini? Au ninyi ndio ambao huwa mnasaini halafu baadaye mnakuja kushtuka mnaposomewa mlichosaini?
CHADEMA imejaa watu wenye akili na wenye uelewa, siyo watu wa kudanganywa na watu machawa waliokosa akili kama huyo Ramadhania. CHADEMA hakuna akina Mangungo. Kusaini ni kukubali/kuridhia kilichoandikwa. Kama hukubaliani nacho, unatakiwa kugomea kusaini. Unakuwa ni mwendawazimu, kama unasiani kuridhia, halafu baadaye unaanza kulalamikia kitu ulichosaini.
Kwanini kanuni zina badilishwa ama kubuniwaShida yenu nyingine ni kudhani wanawake ni dhaifu sana; kudhani hivyo ni udhaifu wa kumuona mama yako ni dhaifu pamoja na yooote aliyoyafanya kwako kabla ya mimba, wakati wa mimba na baada ya kuzaliwa. Mfano, Hii katiba ni ya mwaka 1977; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli waliitumia hivihivi ilivyo kwenye chaguzi zote. Na chadema ilikuwepo miaka yoooote hiyo, na Lissu na Heche walikwenda bungeni kwa katiba hiyohiyo na Tume hiyohiyo. Lakini kwasababu safari hii Rais ni Samia (mwanamke) hatakiwi kuitumia kabisa la sivyo atakiona kama asipoibadilisha. Hakiyanani mnakosea sana na mnasababisha Rais asione umuhimu wa kuibadilisha.