Tetesi: CHADEMA kuitisha kikao cha kamati kuu kwa dharura kupanga mikakati ya kukabiliana na nguvu ya Makonda

Mimi siogopi wala kuhofia matusi kwa kuusema ukweli.kuna watu ukiongea na kuandika ukweli huwa wanaumia sana na kukimbilia matusi kama ngao yao.mimi nitaendelea kuwaambieni ukweli hata kama mtatukana matusi kama walevi wa gongo.wala sitawatukana wala kuwajibu zaidi ya kuendelea kuwaelimisha kwa utulivu na upendo mkubwa
Sasa mambo ya Chadema yanakuhusu nini? Si ungeendelea tu kuwapamba wale watu wako wa kila siku, pamoja na chama chako!!!
 
Kwanini yasinihusu wakati wamekula na kutafuna kodi zetu kwa miaka yote? Kwanini nikae kimya napoona wanapotosha umma wa watanzania na kuleta uchonganishi dhidi ya serikali yetu.
 
CCM Ndio iliyompitisha na kumchagua komandoo Makonda kuwa mwenezi wake.ndio maana unaona ikiendelea kumuunga mkono na kumpa ushirikiano wote.sasa upande wa pili kibanda chao kina waka moto na kuteketeza kila kitu kilicho ndani yake. Sasa ni mayowee tu kutoka CHADEMA.

Fatilia vizuri mambo yanayojiri kwenye office zenu dodoma

Utajua mambo yanavyofukuta
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimepenyezewa taarifa kuwa CHADEMA hakukaliki wala hakuendeki wala hakupangiki mikakati ya aina yoyote ile.hii ni baada ya ujio wa Makonda kuonekana kuwa tishio kwa uhai wa chama hicho cha upinzani ambacho kinaendelea kusambaratika na kudhoofika kila uchwao. Inasemekana kikao cha dharura cha kamati kuu kinakwenda kuitishwa muda wowote ule kujadili namna ya kukabiliana na nguvu kubwa na ushawishi wa Makonda ulionekana kuteka mijadala ya kisiasa hapa nchini na kuonekana kuwa na nguvu ya ushawishi kwa wananchi wanaopenda siku zote mtu na kiongozi wa maamuzi magumu,ujasiri na kujiamini aina ya Paul Makonda.

Mtoa taarifa wangu amenieleza kuwa viongozi wote kwa sasa ndani ya kamati kuu ya CHADEMA hadi kanda wamevurugwa akili na kuchanganyikiwa ghafla kutokana na ujio wa Makonda unaoendelea kuzima taarifa zao na kukiweka chama cha mapinduzi midomoni mwa watanzania muda wote.kwa sasa CHADEMA haieleweki kama ipo stoo au kabatini au mfukoni mwa mwenyekiti mwenyewe,haieleweki nini kinaendelea juu ya CHADEMA maana Makonda kateka anga lote la siasa na kuvishika mateka vyama vyote vya upinzani ambapo mpaka muda huu vipo chini ya ulinzi mkali sana wa komandoo na jasusi wa siasa ndugu Paul Makonda huku vikiwa mikono juu kichwa chini mwendo wa mateka.

Mtoa taarifa wangu anasema viongozi mbalimbali wa CHADEMA wanataka wakutane kwa dharura ili waone wafanyeje kumkabili Makonda ,wengine wakadai kuwa GIA ya kumchafua kwa tuhuma za uzushi imegonga mwamba masikioni mwa watanzania na badala yake ameendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania ambao wameonekana kuwa na shauku kubwa sana ya kumsikiliza Makonda na kutaka aanze ziara zake mikoani anakosubiliwa kwa hamu kubwa sana ili wamlaki kwa kishindo.

Wanajiuliza kama hajaanza ziara za mikoani tayari jina lake limeshatangulia na kuwatetemesha watu na kuteka mijdala yote mitaani na watu kuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza ,vipi akifika na kuanza kuvurumisha makombora? Nani atasalimika? CHADEMA itaficha wapi sura zao? Habari zao zitasikika wapi? Nani ataandika au kutangaza habari za chadema katika magazeti na hata TVs?

Inasemekana CHADEMA wapo katika wakati mgumu sana na hawaelewi wafanye nini hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa CHADEMA inapenda sana kutembelea matukio tukio ya mpito. Kwa hakika Makonda anawalaza na viatu chadema nzima kwa sasa.hawahemi wala kupumua .ni roho juu juu tu kama wagonjwa mahututi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kumbe wewe kiazi mbatata kweli,yaani Chadema wapoteze muda kwa huyo msema chochote? Alishindwa alivyokuwa na nguvu za dola akiwa RC tena na msaada wa CIC itakuwa sasa? Huyo awatetemeshe maccm wenzake ambao kula yao inategemea CCM na wateule wa Rais lakini kwa Chadema tunamuona sakala tu.
 
Kumbe wewe kiazi mbatata kweli,yaani Chadema wapoteze muda kwa huyo msema chochote? Alishindwa alivyokuwa na nguvu za dola akiwa RC tena na msaada wa CIC itakuwa sasa? Huyo awatetemeshe maccm wenzake ambao kula yao inategemea CCM n a wateule wa Rais lakini kwa Chadema tunamuona sakala tu.
Huwezi ukaelewa nguvu ya Makonda maana bado bangi haijakutoka kichwani mwako.wenzio wanaoelewa nguvu yake na ushawishi wake tayari wameshaanza kutetemeka na kuchanganyikiwa.
 
Wewe bwege nikuambie kitu,mimi naijua vizuri CCM na machinery zake zote kuliko wewe unayedandia dandia tu kusifia ujinga. Najua nafasi ya Makonda kikatiba kuliko wewe unayeendekeza ushabiki kama wa Simba na Yanga. Wala usijaribu kujilinganisha na mimj kuhusu siasa za nchi hii,hadi tumetoka huko tunajua upuuzi wote. Koma kabisa, endelea kujidhalilisha tu lakini hupati kitu kwani wewe si mmoja wao,wanakuona kama mkoma tu usiyestahili hata kugusa kamba za viatu vyao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimepenyezewa taarifa kuwa CHADEMA hakukaliki wala hakuendeki wala hakupangiki mikakati ya aina yoyote ile. Hii ni baada ya ujio wa Makonda kuonekana kuwa tishio kwa uhai wa chama hicho cha upinzani ambacho kinaendelea kusambaratika na kudhoofika kila uchwao.

Inasemekana kikao cha dharura cha kamati kuu kinakwenda kuitishwa muda wowote ule kujadili namna ya kukabiliana na nguvu kubwa na ushawishi wa Makonda ulionekana kuteka mijadala ya kisiasa hapa nchini na kuonekana kuwa na nguvu ya ushawishi kwa wananchi wanaopenda siku zote mtu na kiongozi wa maamuzi magumu, ujasiri na kujiamini aina ya Paul Makonda.

Mtoa taarifa wangu amenieleza kuwa viongozi wote kwa sasa ndani ya kamati kuu ya CHADEMA hadi kanda wamevurugwa akili na kuchanganyikiwa ghafla kutokana na ujio wa Makonda unaoendelea kuzima taarifa zao na kukiweka chama cha mapinduzi midomoni mwa watanzania muda wote.

Kwa sasa CHADEMA haieleweki kama ipo stoo au kabatini au mfukoni mwa Mwenyekiti mwenyewe, haieleweki nini kinaendelea juu ya CHADEMA maana Makonda kateka anga lote la siasa na kuvishika mateka vyama vyote vya upinzani ambapo mpaka muda huu vipo chini ya ulinzi mkali sana wa komandoo na jasusi wa siasa ndugu Paul Makonda huku vikiwa mikono juu kichwa chini mwendo wa mateka.

Mtoa taarifa wangu anasema viongozi mbalimbali wa CHADEMA wanataka wakutane kwa dharura ili waone wafanyeje kumkabili Makonda, wengine wakadai kuwa GIA ya kumchafua kwa tuhuma za uzushi imegonga mwamba masikioni mwa watanzania na badala yake ameendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya Watanzania ambao wameonekana kuwa na shauku kubwa sana ya kumsikiliza Makonda na kutaka aanze ziara zake mikoani anakosubiliwa kwa hamu kubwa sana ili wamlaki kwa kishindo.

Wanajiuliza kama hajaanza ziara za mikoani tayari jina lake limeshatangulia na kuwatetemesha watu na kuteka mijdala yote mitaani na watu kuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza ,vipi akifika na kuanza kuvurumisha makombora? Nani atasalimika? CHADEMA itaficha wapi sura zao? Habari zao zitasikika wapi? Nani ataandika au kutangaza habari za chadema katika magazeti na hata TVs?

Inasemekana CHADEMA wapo katika wakati mgumu sana na hawaelewi wafanye nini hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa CHADEMA inapenda sana kutembelea matukio tukio ya mpito. Kwa hakika Makonda anawalaza na viatu chadema nzima kwa sasa. Hawahemi wala kupumua, ni roho juu juu tu kama wagonjwa mahututi.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hivi Huyu mtu ni mzima?

Au ndio uchawa unakuwa hivi?
 
Kwa hakika Makonda ni tishio la kweli kwa Chadema.Huwa haogopi kitu.
 
Makonda gani nawewe.hebu acha kuchosha watu.Huyo makonda wako ana kipi cha maana.au kuropoka ropoka kwako ndo cha maana.Dume zima ovyoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom