Pre GE2025 CHADEMA kujadili Rufaa ya Msigwa hivi karibuni, Matokeo yake yatatolewa kwa vyombo vya habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Akili za CHADEMA zinapaswa kupimwa na madaktari bingwa wa pale Mirembe.maana ukifikiria unaona ni kama kuna tatizo mahali ambapo hata wao hawajioni wala kujitambua kama wana tatizo hilo.
 
Shida wengi hamkufuatilia suala la Msigwa. Msigwa kwenye mdahalo na Sugu aliulizwa kuhusu kuwaita wanachama wa CHADEMA kuwa ni nyumbu. Akashindwa kujibu.
 
Huyo mchungaji alikohamia wampeleke mirembe kwanza,tofauti atawapatia matatizo makubwa sana.
 

Attachments

  • VID-20240701-WA0005.mp4
    1.5 MB
Waliobaki kutuhumiwa na Msigwa waaadhibiwe kulinda heshima ya chama.kosa liko vilevile.
 
Vyema. Lazima kumbukumbu inyoroshwe. Kakata rufaa, lazima jalada lifungwe, kikatiba.

Sasa, hii kumtaja na kumhusisha huyo β€œmama Abduli” mapema mapema sio kutaka attention ya dola - itie mkono? Au mna lengo la kuvutia kash kash rufaa ivurugike kabla ya kuanza au izue mengine yasiyo na tija.
 
Akili za CHADEMA zinapaswa kupimwa na madaktari bingwa wa pale Mirembe.maana ukifikiria unaona ni kama kuna tatizo mahali ambapo hata wao hawajioni wala kujitambua kama wana tatizo hilo.

Na wewe punguani wa kudumu umeona unaweza kuchangia kwenye hii hoja?

Hospitali yako ya Mirembe uliyopelekwa ukiwa sekondari naona bado unaikumbuka vizuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…