CHADEMA kukubali kupokea ruzuku na kupeleka wabunge wengine wa viti maalum?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti maalumu bungeni.

Pia CHADEMA ipo tayari kupokea ruzuku, ikumbukwe kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku ya zaidi ya milioni 100 Kwa mwezi na takribani miezi 17 Sasa hawajachukua ruzuku toka uchaguzi mkuu wa 2020, hivyo wanadai zaidi ya Bilioni 1.7 za Kitanzania kutoka hazina

Source: Raia Mwema
 
Vipi kuhusu hela zetu walipa kodi wanazohongwa akina Mdee? Ila kademu kazuri, wakaache
Titawataka wazirudishe🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Unadai vipi ulichokikataa?
 

Kwanza watuambie kuwa wanakubali uchaguzi ulikuwa ni huru na haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…