Uchaguzi 2020 CHADEMA kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020

Sijawahi kuona article ya kipumbavu Kama hii tangu nijiunge JF
Ziko nyingi tu tena hii ina afadhali, mleta Uzi ni miongoni mwa Mazumbukuku yaliyojazana pale Mtaa wa Lumumba yakisubiri offer za buku. Hata alichokiandika hawezi kukithibitisha maana maneno ya Lissu siyo haya.
 
Wanatia huruma vibaya saaana
 
Bwana Sallu, naona kama tunakosea sana, na kupoteza muda kwenye nyuzi za
Kijinga jinga, za watu kama huyu na kina Wakudadavuliwa, bia yetu, Yehoyada nk! Hawa ni wash Abi li was ujinga na wachochozi wa kudumisha uongo! Ni wapotosha wajinga zaidi kuwepo hapa!
Wamezushia Lisu na CHADEMA uongo mwingi tu, ambao naamini hata watoto wao wachanga, (kama wanao) hawawezi kuukubali!
Hayo yote ni kawaida tu, lakini kero kubwa ni kwamba, kazi hii wanayo fanya, (ambayo haina viwango), wanalipwa🤩, lakini mbaya zaidi wanalipwa na kodi zetu😔😣😭! Bashiru na Polepole ni wahujumu uchumi, peleka mahakama ya mafisadi!!😃
Wewe hutokaa ujue siasa aisee

Siasa ni propaganda Kaka, mfano, mtu anaposema kwamba Magufuli kajenga kiwanja cha ndege Kwa ajili ya familia yake ndio propaganda zenyewe za siasa!

Mtu akisema hivyo, awe na uhakika kwamba, mtu huyo ana hati miliki ya kiwanja hicho cha ndege,

Kiwanja kile ubaya wake ni Kwa sababu kimejengwa Chato,laiti kingelijengwa maeneo anakotokea Jigilibem huko singida ndio igekuwa Sawa, lakini kile kiwanja kipo Tz na kuna mbuga ya wanyama kule, Leo kitaonekana hakina maana, lakini siku za usoni, mtalipenda tu
 
Ni sawa, kwamba kuna propaganda, lakini pointi yangu ni kwamba wana-propaganda wa Lumumba, kina Jane Lowasa, na hao wengine niliota wataja hapo juu, wapo very low!! Kwanini mnafuja pesa zetu kulipa watu ambao wapo viwango vya chini kiasi hicho?! Pesa tunayo changia tunaitolea jasho, leo Polepole anakuja kuitoa kienyeji tu kwa watu ambao hawafanyi kazi za maana!! Inauma ujue! Kidogo Mtu kama Wewe Una pointi tunazoita za kiwango cha IPP (siyo kampuni tanzu ya Mengi), lakini ukipewa elfu 7 kwa siku, Siyo mbaya sana!
Kuhusu kiwanja cha ndege Chattel, bado sana, hata taa za barabarani ilikua bado! Wanyama wenyewe, mbona inasemekana ni kitiweo tu kwa wenyejeji, nani anafanya utalii hukooo?!
 
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea Urais kupitia hicho chama ameonya, mara kadhaa, kwenye kampeni zake kuwa kama hatatangazwa yeye mshindi, anawambia wanachama, wafuasi na mashabiki wake waingie barabarani. Amekuwa akisisitiza kuwa ama zake ama za Magufuli, mgombea Urais kupitia CCM.

Kutokana kauli ya iliyomo kwenye "video clip" ya Mbowe (naambatanisha), akiwaambia Watanzania kwa njia ya mkutano wake na Wanahabari, kimsingi masharti ya kukuubali matokeo yako mikononi mwa Tume ya Uchaguzi kukubali, bila masharti yoyote, mawakala wa CHADEMA, itakao wateua, kusimamia zoezi la kupiga, kuhesabu na kujumulisha kura.

Je, ni mazingira gani Mawakala wa CHADEMA wamewekewa na kuandaliwa na chama ili wawe na sifa zinazokidhi Maadili ya Uchaguzi Mkuu, 2020? Moja ya wajibu wa chama cha siasa kinachoshoriki katika Uchaguzi Mkuu, 2020, Kifungu 2.1(r) uwaelimisha na kuwaelekeza mawakala wao watakaokuwepo katika vituo vya kupigia, kuhesabia na kujumlishia kura watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, kanuni za uchaguzi, taratibu na maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Angalizo langu: kuna kila dalili, kutokana na historia ya ushiriki wa CHADEMA, kuwa Mawakala watakaoteuliwa watakuwa hawana sifa za kuwa mawakala ili waenguliwe. Ikitokea hivyo chama kitakuwa na sababu ya kususia matokeo. Chondechonde viongozi wa CHADEMA kama lengo ndilo hilo, hakika nawaambia hamna nia njema ya kuongoza nchi hii ila kutafuta kila aina ya uovu nchi isitawalike, mkidhani ikiwa hivyo mtaingia madarakani.

NAWASILISHA

Watu malaya kama nyinyi ni worse than pigs and dogs. Lini Lisu alisema hawezi kukubali? Alisema kama uchaguzi utakuwa wa halali atakubali kama siyo wa halali hawezi kubal.
 
Hacha kuongea kimalaya wewe, na husimlishe maneno mheshimiwa Lisu
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea Urais kupitia hicho chama ameonya, mara kadhaa, kwenye kampeni zake kuwa kama hatatangazwa yeye mshindi, anawambia wanachama, wafuasi na mashabiki wake waingie barabarani. Amekuwa akisisitiza kuwa ama zake ama za Magufuli, mgombea Urais kupitia CCM.

Acha kujifunza kuwa na akili ndogo, weka clip iliyo na maneno yenye rangi nyekundu hapo juu. Nie ndio mnaochonganisha jamii ya watanzania
 
CHADEMA hawana uwezo wa kuleta fujo.
Majority ni CCM
“You don't necessarily need atomic bombs to destroy a nation. Politicians who value their pockets than the life of citizens always do that every day.” ~ Israelmore Ayivor
 
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea Urais kupitia hicho chama ameonya, mara kadhaa, kwenye kampeni zake kuwa kama hatatangazwa yeye mshindi, anawambia wanachama, wafuasi na mashabiki wake waingie barabarani. Amekuwa akisisitiza kuwa ama zake ama za Magufuli, mgombea Urais kupitia CCM.

Kutokana kauli ya iliyomo kwenye "video clip" ya Mbowe (naambatanisha), akiwaambia Watanzania kwa njia ya mkutano wake na Wanahabari, kimsingi masharti ya kukuubali matokeo yako mikononi mwa Tume ya Uchaguzi kukubali, bila masharti yoyote, mawakala wa CHADEMA, itakao wateua, kusimamia zoezi la kupiga, kuhesabu na kujumulisha kura.

Je, ni mazingira gani Mawakala wa CHADEMA wamewekewa na kuandaliwa na chama ili wawe na sifa zinazokidhi Maadili ya Uchaguzi Mkuu, 2020? Moja ya wajibu wa chama cha siasa kinachoshoriki katika Uchaguzi Mkuu, 2020, Kifungu 2.1(r) uwaelimisha na kuwaelekeza mawakala wao watakaokuwepo katika vituo vya kupigia, kuhesabia na kujumlishia kura watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, kanuni za uchaguzi, taratibu na maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Angalizo langu: kuna kila dalili, kutokana na historia ya ushiriki wa CHADEMA, kuwa Mawakala watakaoteuliwa watakuwa hawana sifa za kuwa mawakala ili waenguliwe. Ikitokea hivyo chama kitakuwa na sababu ya kususia matokeo. Chondechonde viongozi wa CHADEMA kama lengo ndilo hilo, hakika nawaambia hamna nia njema ya kuongoza nchi hii ila kutafuta kila aina ya uovu nchi isitawalike, mkidhani ikiwa hivyo mtaingia madarakani.

NAWASILISHA

Ulianza vizuri lakini umehukumu kwa upendeleo,huu ni uchaguzi hivyo kama CDM wataweka mawakala kila kituo,nani mwenye kutakiwa kuwaelimisha?Je,vyama vingine vina vyuo vya kufunza mawakala?Why do you think that CDM will bring such kind of bad election agents?Isn't it advantageous for CCM?
 
Usimlishe maneno. Alisema kama kutakuwa na wizi hapo ndo atawaambia watu waingie barabarani. Hakusema kama hawatawatangaza. Mbona mnapotosha nyie wahuni wa CCM
Hiyo ndiyo tabia ya hao watu wa Lumumba kutunga uwongo baada ya kuona maji yamefika shingoni..............
 
Ccm bwana
IMG_20201005_152921.jpeg
 
Ulianza vizuri lakini umehukumu kwa upendeleo,huu ni uchaguzi hivyo kama CDM wataweka mawakala kila kituo,nani mwenye kutakiwa kuwaelimisha?Je,vyama vingine vina vyuo vya kufunza mawakala?Why do you think that CDM will bring such kind of bad election agents?Isn't it advantageous for CCM?
Asante kwa mtazamo chanya wa hoja zangu. Sikuwa na nia kuhitimisha hivyo ila mazingira ndiyo yamenisukuma kufanya hivyo.

Hakuna ubishi:
√ Viongozi wa CHADEMA wamedhamiria uchaguzi usifanyike kwa amani kwa kivuli cha kutokuwa huru na wa haki. Matendo, lugha na kauli zao kwenye kampeni zinachochea chuki;
√ kwamba agenda kuu ya CHADEMA, katika Uchaguzi Mkuu huu, ni UKOMBOZI badala ya mageuzi au mabadiliko yenye tija kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii;
√ viongozi wa CHADEMA wanamlenga mgombea Urais wa CCM na kumfitinisha kwa jamii wakisahau kuwa ni M/Kiti wa chama chenye wanachama na wafuasi wengi kuliko vyama vyote vya siasa hata vikiunganishwa. Je, kundi hili likiamua kujibu udharilishaji huo, ni dhahiri amani ya nchi itakuwa majaribuni.

ITOSHE kuwaomba viongozi wa CHADEMA Tanzania itakuwepo baada ya uchaguzi. Pia ni wajibu wangu, wako na hao kutumia uhuru na haki yako kupiga kura kwa amani
 
Hivi kwanini kila kitu muanze mambo ya kubashiri Ooooh Mawakala wetu watashindwa kuapishwa, Ooh watazuiwa vituoni, Ooooh hawatapewa matokeo. Ukishaanza kujijengea huo utamaduni basi ujue wewe utakua mtu wa kulia lia mara zote. Hivi mnauhakika wa kupata kura ngapi. Msijidanganye na ushabiki mbuzi mnaoupata mitandao mkidhani wao ni wapiga kura. Vitisho vyenu ndio vitakavyo wafukuza wapigakura.
 
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea Urais kupitia hicho chama ameonya, mara kadhaa, kwenye kampeni zake kuwa kama hatatangazwa yeye mshindi, anawambia wanachama, wafuasi na mashabiki wake waingie barabarani. Amekuwa akisisitiza kuwa ama zake ama za Magufuli, mgombea Urais kupitia CCM.

Kutokana kauli ya iliyomo kwenye "video clip" ya Mbowe (naambatanisha), akiwaambia Watanzania kwa njia ya mkutano wake na Wanahabari, kimsingi masharti ya kukuubali matokeo yako mikononi mwa Tume ya Uchaguzi kukubali, bila masharti yoyote, mawakala wa CHADEMA, itakao wateua, kusimamia zoezi la kupiga, kuhesabu na kujumulisha kura.

Je, ni mazingira gani Mawakala wa CHADEMA wamewekewa na kuandaliwa na chama ili wawe na sifa zinazokidhi Maadili ya Uchaguzi Mkuu, 2020? Moja ya wajibu wa chama cha siasa kinachoshoriki katika Uchaguzi Mkuu, 2020, Kifungu 2.1(r) uwaelimisha na kuwaelekeza mawakala wao watakaokuwepo katika vituo vya kupigia, kuhesabia na kujumlishia kura watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, kanuni za uchaguzi, taratibu na maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Angalizo langu: kuna kila dalili, kutokana na historia ya ushiriki wa CHADEMA, kuwa Mawakala watakaoteuliwa watakuwa hawana sifa za kuwa mawakala ili waenguliwe. Ikitokea hivyo chama kitakuwa na sababu ya kususia matokeo. Chondechonde viongozi wa CHADEMA kama lengo ndilo hilo, hakika nawaambia hamna nia njema ya kuongoza nchi hii ila kutafuta kila aina ya uovu nchi isitawalike, mkidhani ikiwa hivyo mtaingia madarakani.

NAWASILISHA

Madazingine bans
 
Hilo halina mjadala, kukubali matokeo ni wajibu wa mshiriki yoyote, haijarishi anafadhiliwa na NANI au anaweka mkwara wa aina gani!
 
Asante kwa mtazamo chanya wa hoja zangu. Sikuwa na nia kuhitimisha hivyo ila mazingira ndiyo yamenisukuma kufanya hivyo.

Hakuna ubishi:
√ Viongozi wa CHADEMA wamedhamiria uchaguzi usifanyike kwa amani kwa kivuli cha kutokuwa huru na wa haki. Matendo, lugha na kauli zao kwenye kampeni zinachochea chuki;
√ kwamba agenda kuu ya CHADEMA, katika Uchaguzi Mkuu huu, ni UKOMBOZI badala ya mageuzi au mabadiliko yenye tija kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii;
√ viongozi wa CHADEMA wanamlenga mgombea Urais wa CCM na kumfitinisha kwa jamii wakisahau kuwa ni M/Kiti wa chama chenye wanachama na wafuasi wengi kuliko vyama vyote vya siasa hata vikiunganishwa. Je, kundi hili likiamua kujibu udharilishaji huo, ni dhahiri amani ya nchi itakuwa majaribuni.

ITOSHE kuwaomba viongozi wa CHADEMA Tanzania itakuwepo baada ya uchaguzi. Pia ni wajibu wangu, wako na hao kutumia uhuru na haki yako kupiga kura kwa amani
Tunataka Uhuru,Haki na Maendeleo ya wote bila Ubaguzi,pia msisahau kuwa hatutaogopa kuvidai kwa jasho na damu zetu hadi kieleweke.Watangazwe wagombea walioshinda kwenye sanduku tukufu la Kura kwa Haki na siyo vinginevyo.Enough is enough,no more Fear and No more Hate!
 
Alisema kama akishinda na asitangazwe kuwa ameshinda na wala hajawahi kusema kuwa asipotangazwa kuwa mshindi, usimlishe maneno.
Naona mleta mada anataka kutumislead as if hatukumsikia Lissu alichokisema. Hawa ndio wachochezi sheinzzzz
 
Tunataka Uhuru,Haki na Maendeleo ya wote bila Ubaguzi,pia msisahau kuwa hatutaogopa kuvidai kwa jasho na damu zetu hadi kieleweke.Watangazwe wagombea walioshinda kwenye sanduku tukufu la Kura kwa Haki na siyo vinginevyo.Enough is enough,no more Fear and No more Hate!
Nothing less nothing more
 
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea Urais kupitia hicho chama ameonya, mara kadhaa, kwenye kampeni zake kuwa kama hatatangazwa yeye mshindi, anawambia wanachama, wafuasi na mashabiki wake waingie barabarani. Amekuwa akisisitiza kuwa ama zake ama za Magufuli, mgombea Urais kupitia CCM.

Kutokana kauli ya iliyomo kwenye "video clip" ya Mbowe (naambatanisha), akiwaambia Watanzania kwa njia ya mkutano wake na Wanahabari, kimsingi masharti ya kukuubali matokeo yako mikononi mwa Tume ya Uchaguzi kukubali, bila masharti yoyote, mawakala wa CHADEMA, itakao wateua, kusimamia zoezi la kupiga, kuhesabu na kujumulisha kura.

Je, ni mazingira gani Mawakala wa CHADEMA wamewekewa na kuandaliwa na chama ili wawe na sifa zinazokidhi Maadili ya Uchaguzi Mkuu, 2020? Moja ya wajibu wa chama cha siasa kinachoshoriki katika Uchaguzi Mkuu, 2020, Kifungu 2.1(r) uwaelimisha na kuwaelekeza mawakala wao watakaokuwepo katika vituo vya kupigia, kuhesabia na kujumlishia kura watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, kanuni za uchaguzi, taratibu na maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Angalizo langu: kuna kila dalili, kutokana na historia ya ushiriki wa CHADEMA, kuwa Mawakala watakaoteuliwa watakuwa hawana sifa za kuwa mawakala ili waenguliwe. Ikitokea hivyo chama kitakuwa na sababu ya kususia matokeo. Chondechonde viongozi wa CHADEMA kama lengo ndilo hilo, hakika nawaambia hamna nia njema ya kuongoza nchi hii ila kutafuta kila aina ya uovu nchi isitawalike, mkidhani ikiwa hivyo mtaingia madarakani.

NAWASILISHA

Mzee baba hata hujishtukii kuongea uwongo? Unapata faida gani kwa implication unayotaka kuijenga as watu hawamsikiagi Lissu akiongeacho?
Hizi sio propaganda bali ujinga
 
Back
Top Bottom