Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bams akili wanazo na masikio wanayo, wanaona na kusikia vyema kabisa ila kuna maneno ambayo hawayapendi. Neno kuu wasilolipenda ni HAKI, Tundu anasema kila wakati kuwa akishindwa kwa HAKI atakua wa kwanza kukubali matokeo. wao wanachokiubiri na kuimba ni amani, sasa bila HAKI hiyo amani itatoka wapi?
Sijawahi kuona article ya kipumbavu Kama hii tangu nijiunge JF
Hawataweza kushinda hata kidogo, hizo vurugu mnazofanya ili mpate huruma wananchi wanaojua mnazitafuta wenyewe,Nazani tujikite kuongelea .CCM ita kubari matokeo maana ata wale vijana wa UVCCM ni nguvu ya chips tu
SUBIRI KIDOGO