Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivi ndivyo basi sioni kosa la Mbowe kwenye huo msimamo wake, zaidi, nawashangaa wale wanaompigia kelele Mbowe.
Daah pale ambapo wananchi wanasubiri ama CDM irudi au isambaratike. Hii nchi ina vituko sana.Way back chadema ilikuwa na ushawishi sana sizani kama wataweza kuiludisha chadema Ile....
Mbowe ni STRATEGIC, wameachiwa huru wafungwa wengi sana wa kisiasa kupitia mazungumzo, jambo ambalo maandamano yangechukua muda.Kama hivi ndivyo basi sioni kosa la Mbowe kwenye huo msimamo wake, zaidi, nawashangaa wale wanaompigia kelele Mbowe.