Hayo MARIDHIANO fake nani anataka. CCM hana nia njema na thabiti kuyataka. Anataka vyama vyote vya upinzani viwe makoloni yake na ameshafanikiwa kwa ACT.
Mbowe ni STRATEGIC, wameachiwa huru wafungwa wengi sana wa kisiasa kupitia mazungumzo, jambo ambalo maandamano yangechukua muda.
Mkiwa mnajadiliana lazima mkubaliane trust ya mazungumzo, isingeleta maana Mbowe atoka meza ya maridhiano aanze kuripoti Kila walichozungumza kama yule aliyekuwa anaripoti Case ya COVID๐๐๐๐