its MalekoGJ
Senior Member
- Aug 27, 2020
- 136
- 292
CHADEMA, Kuleta Mpox na Ebola
Ukweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia?
Baada ya Kuisikia Kauli Ya Kiongozi katibu Itikadii Unezi wa @ccm_tanzania Taifa
Dhidi ya @ChademaTz
Kwamba CDM Wanampango wa kufanya Biological attack dhidi ya Watanzania.
Niilijiuliza maswaliMengi sanaa Haswa Ya Msingi wa Kisheria?
Haswa nikitambua
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, madai yoyote ya uhalifu, hasa yanayohusisha masuala ya afya ya umma, yanapaswa kuwa na ushahidi wa moja kwa moja.
Je Bwana Makala yupo na Ushahidi?
Na Sheria ya kudhibiti magonjwaYa Mlipuko inasemaje??
@LuhambaI utanisaidia
Kama Tunavyojua CDM ilianzisha Kampenii yao ya Tone Tone Huku malengo yakiwq Ni kuweza Kugharamia Shughuli zao Za Kisiasa
Haswa kupambania kauli yao ya No Reform No Election
Makala ametuhum Kampenii hiyo kuwa malengi niKufanya Biological attack kwa kuleta magonjwa Ya mlipuko ya Mpox na Ebola
Je @ccm_tanzania mnaweza Kutueleza Kupitia Kiongozi wenu huyo zilipo maabara za Kutengeneza magonjwa Haya ili muisaidie WHO Kupambana na Magonjwa Haya??
Mkishindwa Kutujibu mna halalisha kuwa kauliYa Makala Ni Spining na propaganda? Je Chama Chenu ni chama Cha propaganda??
Anyway nimeiita Propaganda kulinganaa na Nadharia maarufu ya Herman & Chomsky, ya mwaka 1988 inaitwa Propaganda Theory
Katika nadharia hiii vyama vya siasa na taasisi za serikali hutumia mbinumbalimbali za mawasiliano kwa lengo la Kudhoofisha upinzani kwa njia ya kueneza hofu au tuhuma zisizo na ushahidi.
Wakati mwingine Taarifa Hizi
Hupotosha Umma na Kurengeneza Adui wa pamoja
JE @ChademaTz mnakubaliana na Tuhuma Hizi Kuacha Kuzijibu
Umma Utawahukum either niKwelii au Si Kwelii??
Katika muktadha huu, kauli ya Katibu wa Uenezi wa CCM inaweza kuonekana kama njia ya kutengeneza simulizi inayohusisha CHADEMA na jambo la hatari ili kupunguza uhalali wenu wa kisiasa mbele ya jamii.
Berger & Luckmann,mwaka 1966 walikuja na SocialConstruction theory Nadharia hii inaeleza kuwa ukweli wa kisiasa na kijamii hujengwa kupitia lugha, vyombo vya habari, na mijadala ya umma. Kauli inayohusisha CHADEMA na kuachia magonjwa hatari inaweza kuchukuliwa kama jaribio la
Kubadili taswira ya CHADEMA kutoka chama chaSiasa kwenda katika mtazamo wa "tishio kwa afya ya jamii."
Kutengeneza maoni hasi kuhusu harakati za upinzani, hasa pale wanapokuwa na mafanikio katika kushawishi umma kuchangia harakati zao.
kuchangisha fedha kwa umma ni mbinu halali inayotumiwa na vyama vya upinzani dunianiKwa muktadha huu
hatua hii inaweza kutafsiriwa vibaya kama njia ya kuwakatisha tamaa wafuasi wa CHADEMA.
@ChademaTz Toeni kaulii yenuu
Mana Imani yenu kwa Watanzania Inauliwa sanaa
Na nyie
@ccm_tanzania kama Mnajali na kulinda afya za Watanzania
Toeni ushahidi sasaCHADEMA wamekuwa wakitumia njia ya "tone tone" kupata fedha za kuendesha harakati zao mfumo huu umetumika kimataifa na hata vyama vya siasa vilivyofanikiwa kama ANC ya Afrika Kusini na ODM ya Kenya.
Tunakoelekea Siasa Bila Hoja?
Katika demokrasia yenye afya, mijadala ya kisiasaInapaswa kujikita kwenye hoja na sera, si hofu na tuhuma zisizo na msingi.
Ikiwa propaganda hizi zitaendelea, je, Tanzania itaweza kujenga upinzani imara wa kisera?
Ni wakati wa Wananchi kujiuliza
Kwa nini propaganda kama hizi zinaibuka wakati upinzani unapata nguvu?Siasa za Tanzania zinahitaji mijadala yenye hoja, si propaganda za kuwatisha wananchi.
Soma Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!