Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika.
4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya polisi wako sehemu gani.
5. Jeshi la Polisi likishindwa kuonyesha ushahidi wa kutosha, CHADEMA idai kulipwa fidia ya 3B kwa kuchafuliwa jina mbele ya jamii.
Kumbuka Polisi iliwahi kuonyesha ushahidi wa picha za CCTV za uongo.