ππππWanasheria wa Chadema wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa Chadema walihusika.
4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya polisi wako sehemu gani.
5. Jeshi la Polisi likishindwa kuonyesha ushahidi wa kutosha, Chadema idai kulipwa fidia ya 3B kwa kuchafuliwa jina mbele ya jamii.
Kumbuka Polisi iliwahi kuonyesha ushahidi wa picha za CCTV za uongo.
View attachment 3082856
Mahakama gani tena unaziongelea, Bosi Azizi si ameshapigia mstari kuhusu mahakama.Huu mtanange atakayeshinda ni mwananchi.
Mahakama haina haki tena
Waka fungue kesi wapi sasa? Maana mahakama, poli, na bunge wamegeuka kuwa tawi la CcmWanasheria wa Chadema wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa Chadema walihusika.
4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya polisi wako sehemu gani.
5. Jeshi la Polisi likishindwa kuonyesha ushahidi wa kutosha, CHADEMA idai kulipwa fidia ya 3B kwa kuchafuliwa jina mbele ya jamii.
Kumbuka Polisi iliwahi kuonyesha ushahidi wa picha za CCTV za uongo.
Aisee,Kumbuka Polisi iliwahi kuonyesha ushahidi wa picha za CCTV za uongo.
mambo mengine ni matokeo ya kuamini sana ushirikiana na mazoea ya kuishi kwa kutaka umaarufu tu πWanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika.