johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sikutarajia Chadema kuwa " inaishi"
Hongereni sana bwashee!Na itaendelea kuishi..
Utaiacha iko hai kama alivyoiacha mwendazake aliyejigamba kuizika badala yake akazikwa yeye.
Hongereni sana!unaweza kumnunua mtu, lakini huwezi badilisha hisia za moyo wake kwa kile akipendacho.
Na itaendelea kuishi..
Utaiacha iko hai kama alivyoiacha mwendazake aliyejigamba kuizika badala yake akazikwa yeye.
sijui hata kama alipata muda wa kuungama kwa alivyowatendea wanachademaNa itaendelea kuishi..
Utaiacha iko hai kama alivyoiacha mwendazake aliyejigamba kuizika badala yake akazikwa yeye.
Anawapongeza sana!Mzee Mgaya anasemaje juu ya hili
Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe!Kati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.
Na nikuibie siri tu kuwa katika wilaya ambazo mwendazake hakukubalika, Chato inaweza kuingia top five, hadi watu walisherehekea kifo chake! Ubinadamu kazi sana bora umfadhili mbuzi tu. Chato ilitakiwa wamuone ni heaven sent! Mtu unachukiwa hadi na ndugu dah! Anyway, sijui chanzo cha hayo yote, ila huo ndio uhalisia.
kwahiyo Upendo Peneza kafanikiwa kupenyeza chama hadi ikulu ya chatoAnawapongeza sana!
Hasa yule Upendo Peneza Msuya!
Maendeleo hayana vyama bwashee!kwahiyo Upendo Peneza kafanikiwa kupenyeza chama hadi ikulu ya chato
Hakuna Ikulu yamebaki mahame.kwahiyo Upendo Peneza kafanikiwa kupenyeza chama hadi ikulu ya chato
Nadhani kiroho bado wako naye!Kazi aliyoifanya kamanda Alphonce Mawazo huko Geita matunda yake yanaonekana.
Umeandika kwa hisia sana mkuuKati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.