CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

Mkuu ya kweli hayo?
Upendeleo wote ule?
 
Mkuu ya kweli hayo?
Upendeleo wote ule?
Ndio mkuu!

Nimeiita siri lakini wala hata sio siri. Nenda chato chagua kijiji chochote tu ulete stori za "mwendazake ametuletea maendeleo" kwenye makundi kadhaa ya watu, majibu utayapata yote
 
Ndio mkuu!

Nimeiita siri lakini wala hata sio siri. Nenda chato chagua kijiji chochote tu ulete stori za "mwendazake ametuletea maendeleo" kwenye makundi kadhaa ya watu, majibu utayapata yote
Kazi kweli kweli
 
Sababu kubwa ya kuendelea kuwepo Chato ni kuwa shetani mtu Magufuli aliwafanya vibarua wa maslahi yake na si kuwapelekea maendeleo ya jamii!
 
Wewe siyo wa kulitumia hili neno..."Mwendazake". ..Umewaona.wapi akina Husna?
 
Geita Mjini pia tatizo,sijui ni nini Chanzo
 
Secretariat mpya imeingia imeondoa mpka wahudumu na walinzi mkuu
Hata yule mtilia sumu kwenye vinywaji vya viongozi wasio takiwa na mwendazake na Polepole?
Yule mlemavu wa kibiongo?
 
Mlamba nyayo wa CCM changia hoja siyo kuleta vioja! Maombolezo ya mfu shetani mtu Magufuli yamekwisha na sasa tunaendelea na harakati za kudai haki kwa wote na katiba mpya!
 
Mkuu, sikuikubali hata kidogo staili yake ya kutuongoza kikatili, lakini nilibaki mdomo wazi baada ya kuyajua ya Chato. Mtu anadiriki kuvunja sheria ili apeleke miradi ya kutosha kwao, lakini nduguze wanazidi kumchukia kuliko hata tuliotengwa!
Jamhuri ya JF iko kazini , mimi kwetu Mwanga na Hai, nilikwenda kuzika kutokana na ulazima wa kuendesha maisha. Kwa siku mbili nilizo kaa siku moja kabla ya mazishi na baada ya mazishi, unacho andika hapa unawadanganya wana JF.

Labda kutokujuwa ya lugha ya Kisukuma ulininyima kupata hali halisi ya Geita na Chato ya picha tofauti na niliyo nayo.

Wananchi wa maghsribi au kanda ya ziwa kwa ujumla wana muungano sana na wakitakacho au kukipenda kuliko Kaskazini.

Huku Kilimanjaro wazee karibu wote wanaipenda CCM kiasi unajiuliza wanepata nini? Na vijana wengi wao wako upande wa upinzani. Na hii iko Wilaya zote Kuanzia Same Mwanga, Moshi Vijijini, Rombo, Vunjo, Hai na Siha.
 
Mkuu, sikuikubali hata kidogo staili yake ya kutuongoza kikatili, lakini nilibaki mdomo wazi baada ya kuyajua ya Chato. Mtu anadiriki kuvunja sheria ili apeleke miradi ya kutosha kwao, lakini nduguze wanazidi kumchukia kuliko hata tuliotengwa!
Aisee wakamchomea moto Husna ndani ya Nyumba,akanusurika,media zote kimya,kasoro JF tu,roho Gani hii sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…