CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

Nidanganye watu ili iweje? Kuna maslahi?

Kwakuwa umesema ulikaa siku mbili sina sababu ya kubishana na wewe. Siku ukifika Chato ukakaa angalau mwezi mmoja tu, na ukafahamiana na ndugu wa mwendazake hata wawili tu wanaoishi hapo Chato uje unipinge.
 
Bila tume huru CHADEMA wataendelea kupiga mark time.
 
Kumbe ukifuata masharti ya daktari wako kuna uwezekano wa kupona kabisa maradhi yako. Yaani ukiacha pombe siku mbili tatu na kumeza dawa zako unakuwa na akili za kutosha kabisa. Keep it up. Tunakutakia uponaji mwema ndugu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…