CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, mambo yote yataanikwa na Wahusika wote watatajwa

Manchester united Imeuzwa pia
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA ndiyo tumaini la wengi na ndicho chama pekee cha siasa kinachoaminika na kuwapa imani wananchi wa Tanzania wanaojua umuhimu wa Uhuru, Haki kwa wote na Maendeleo ya Watu yaliyo halisia.


 
Lisuu au mbowe ,mbowe aliongea pumba sana
Kama wewe una akili na ufahamu kweli, hebu jibu maswali haya manne tu ambayo ndiyo msingi wa hoja za Freeman Mbowe na CHADEMA;

1. Unajua lakini kuwa sekta ya bandari ni suala la muungano?

2. Kama jibu lako ni NDIYO; basi wewe unadhani ni kwanini mkataba huu uzihusu bandari za Tanzania Bara (Tanganyika) pekee na kuziacha za Zanzibar chini ya mamlaka nyingine? Na kama jibu lako ni HAPANA, basi kaa kimya maana wewe ni MJINGA unahitaji kuelimishwa..!!

3. Kwa maamuzi haya, huoni kuwa Rais Samia (Mzanzibari) na waziri wake wa Ujenzi na Usafirishaji Prof. Mbarawa (Mzanzibari) na katibu wa wizara hiyo (Mzanzibari) wameamua kuiuza Tanganyika kwa waarabu na kuisalimisha Zanzibar? Huoni kuwa hawa wamevunja sheria na katiba ya JMT? Huoni kuwa kuna "bad intent" nyuma ya mkataba huu?

4. Mwisho, hivi unadhani ni nani anamiliki ukweli wa jambo hili? CCM? Rais Samia? Serikali ya CCM? Wabunge wa CCM? Spika wa bunge la kijinga la CCM chini ya Tulia Ackson? Kama unadhani hivyo, basi wewe ndie pumba kwelikweli..!!

MWISHO: Funguka akili, nchi yako ya Tanganyika inauzwa huku ukipiga vigelevigele..!!
 
Kumbe ule mkataba na mwarabu unatoa Exclusive Rights, kwamba sasa mwarabu ndie amegeuka kuwa bosi wetu kulingana na yale makubaliano tuliyoingia nae, yeye ndie atatuamrisha tufanye atakavyo, sisi tumegeuzwa watumwa!.

Kwa hali hii sasa naamini ile kauli ya Magufuli, hata ile gas yetu wakati wa awamu ya nne iliuzwa China, hasa nilipomsikia Dr. Slaa akisema hiyo bandari ilikuwa iuzwe toka awamu ya nne, bahati nzuri upinzani walipopata hizo taarifa, ndio wakaacha na JK akamfukuza kazi yule aliyetoa zile taarifa, nia ovu inaendelezwa.
 
Machifu wa Kisukuma huko Mwanza wameridhia uuzwaji wa Bandari za Tanganyika.
 
Vipi mikutano ya hadhara ya helcopter. Au Bilioni mbili zimeyeyuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbowe mjanja sana Hawa ndio anawatumia kukumbushia ruzuku ikikata yeye kimyaa ana piga kimya kimya mpunga
 
Sawa

Mchungaji Msigwa hatakagi ujinga

Alikataa ofa ya Shujaa ya kumlipia faini atoke Jela, Huyu jamaa nunda sanaπŸ˜„πŸ˜„
Chadema hawahawa wanaochukia ruzuku ya kina Mdee (COVID 19) bil 2 kwa mwezi...
Hawana hata haya ...yaani ni sawa na majangili
 
Chadema hawahawa wanaochukia ruzuku ya kina Mdee (COVID 19) bil 2 kwa mwezi...
Hawana hata haya ...yaani ni sawa na majangili
Ruzuku za vyama hazihusiani na Wabunge wa viti maalum
 
Lakini mbona viongozi wao wako majuu wanakula bata kwa fedha zetu za ruzuku.
 
Hivi CHADEMA mnasubiri nini kuongoza maandamano?

Kuna zuio lolote kwani kuandamana?

Kauli hizo bila vitendo za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…