Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi ya Kanda ya Ziwa Victoria, Mwanza

Tunasubiri tusikie chama cha watoa taarifa wana taarifa gani mpya
 
Hujui kitu wewe !!
Ninaijua CHADEMA kuliko unavyoijua wewe wa huko Maporini. Nimekulia jirani kabisa na anapoishi Mbowe. Baba yangu mkubwa alikuwa kada mkubwa wa CHADEMA enzi za uhai wake na hata siku ya mazishi yake jeneza lake lilifunikwa na bendera ya CHADEMA. Baada ya kujifunza mambo mengi kuhusu CHADEMA na CCM ndo nikaona CCM wana sera nzuri na ninaridhishwa na siasa zake za kidemokrasia. Nimejifunza haya mambo kwa watu sahihi na sio nyie hoyahoya.
 
Kumbe,

Jiandaeni kukabidhi Kwa upinzani, muda wenu umekwisha.
nbona humu hakuna upinzani sasa kamanda kuna watoa taarifa tu 😀

tumeskiza maoni yenu, tumejadili na kupitisha sheria mpya ya uchaguzi na tume inakuja mambo si ndo hayo sasa mnataka nn tena...
 
nbona humu hakuna upinzani sasa kamanda kuna watoa taarifa tu 😀

tumeskiza maoni yenu, tumejadili na kupitisha sheria mpya ya uchaguzi na tume inakuja mambo si ndo hayo sasa mnataka nn tena...
Aliyesema upinzani ni watoa taarifa, analalama mnataka kumwekea Sumu.

Ndomana nawaambia mwisho wenu umefika.
 
Hatutafanya kazi kujiletea maendeleo bali tutakalia kufanya maandamano kweli, familia zitakula maandamano kweli. Inasemekana wengine wanalipwa.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika kimasikini mno !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…