CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Nitapenda kusikia taarifa ya kumteua yule jaji anaesikiliza kesi ya Mbowe na mkakati ninini!
 
Great!!!
 
MaCCM yanaishi kwa mazoea sana , yataelewa tu kuwa CHADEMA hatutanii..
 
Kwa kuwa CHADEMA kila siku huita waandishi wa habari kuongea naomba jina la CHADEMA libadilishwe liwe CHADOMA

Yaana kirefu CHAMA CHA DOMOKAYA NA MANENO (CHADOMA)
 
Sisi kama Chadema hatuwezi kwenda kwenye vikao vya Msajili mpaka mwenyekiti wetu freeman mbowe aachiwe bila masharti yoyote kwa sababu Watanzania wanajua, Serikali inajua na Dunia inajua kwamba Mbowe Sio Gaidi. Mbowe amebambikizwa kesi ili kumtesa."
MaCCM yanatutesa sana CHADEMA. Magufuli alituua, alitupiga risasi , alituteka na kutufunga kinyume na sheria za nchi.
 
"Nia na lengo letu la kuonana na Rais Samia sio kwenda kumueleza mambo yetu binafsi, bali mambo mbalimbali ya kuendesha Nchi yetu vizuri, na tuko tayari kwa mazungumzo na Rais, lakini hatuko tayari kukutana na Msajili
Msajili kuna ujumbe wako hapa, acha kutuzoea zoea CHADEMA. Fanya kazi kwa mujibu wa sheria, uwezi, pita hivi yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…