CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 20, 2022

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa.
Asante kwa taarifa, ila Mtaa wa Ufipa sio nje ya Jiji la Dar es Salaam!. Pale ni Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania , awamu ya 5 iliondoa Masaki , oysterbay , kinondoni , Temeke , Ubungo , Mbagala na kigamboni kuwa sehemu ya Jiji la DSM na kuipaisha manispaa ya ilala tu kuwa Jiji

Yaani Jiji la Dar ni Vingunguti , chanika na Buguruni kwa mnyamani
Kwa maana ya media Jijini Dar es Salaam ni maeneo yote ya mijini ambayo yako karibu na katikati ya Jiji, na nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ni maeneo ya mbali na mjini. Kipimo cha ndani ya Jiji au nje ya Jiji kinapimwa na umbali kutoka city center.

Tuna barabara kuu 4 za kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Barabara inayoongoza ni Morogoro Rd, ukifika pale Ubungo mataa ndio umeingia mjini, hivyo nje ya mjini ni kuanzia hapo Ubungo, Kimara mbezi na kuendelea.

Barabara ya Bagamoyo ni ukifika Mwenge ni umeingia mjini, nje ya Mwenge ndio nje ya mji. Kwa barabara ya Nyerere ukifika Tazara ni umeingia mjini hivyo Buguruni, Ilala ni mjini Vingunguti Airport ndio nje ya Jiji.

Kwa Temeke mji unaanzia Kurasini. Na kwa pale Feri mji ni ukiisha vuka Feri, kule upande wa pili ni Kigamboni inahesabika ni nje ya mji hata kama proximity yake ni karibu kabisa na mji kuliko Mwenge!.

Hivyo Kinondoni mtaa wa Ufipa zilipo ofisi za Chadema ni mjini na sio nje ya mji!.

Ila pia by now, ofisi za Chadema hazikupaswa kuendelea kuwa pale maana fedha za kujenga ofisi ya maana mlipewa na Sabado, halafu yule jamaa yangu alipokuja kwenu, watu tulikuwa na matumaini makubwa sasa na nyinyi, Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! I really don't know what really happened!.

P
 
Sijaelewa
 
Back
Top Bottom