Hakuna mtu anayezuiwa kwenye mazishi.Ni vyema. Lakini haimaanishi kuwa CCM na serikali yake wanakatazwa kushiriki katika mazishi haya.
Amandla...
Kwahiyo sa100 haji?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei itaanza rasmi leo, ambapo viongozi wakuu wa chama wakiongozwa na Heche watawasili nyumbani kwa marehemu kutoa salamu za pole.
Welwel amesema baada ya salamu hizo, viongozi hao wataelekea katika Hospitali ya Seliani ambako zoezi la kuchukua mwili wa marehemu kutoka mochwari na kuuleta nyumbani kwake Tengeru litafanyika, huku CHADEMA ikiongoza zoezi hilo.
Aidha, Welwel amewaomba wananchi pamoja na wanachama wa CHADEMA kujitokeza kwa wingi hospitalini kushiriki zoezi hilo, akibainisha kuwa kutakuwa na msafara utakaoanzia Hospitali ya Seliani hadi nyumbani kwa marehemu Mzee Mtei.
Kwa upande mwingine, ameeleza kuwa siku ya maziko, Jumamosi Januari 24, 2026, kutakuwa na ratiba maalum ya kumuenzi mwasisi wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei, ambapo muda wa saa moja utatengwa kwa ajili ya matukio mbalimbali ya kumkumbuka kabla ya ratiba nyingine za mazishi kuendelea.
Ni bora wasiende, hawachelewi kuleta vurugu na kupiga watu risasi hao, wamewehuka kabisa siku hizi.Ni vyema. Lakini haimaanishi kuwa CCM na serikali yake wanakatazwa kushiriki katika mazishi haya.
Amandla...
Nakumbuka katika msiba wa Mzee Kibao, ni mashabiki wa Chadema ndio waliotaka kumfanyia fujo muwakilishi wa serikali na sio vice versa. Ni busara za Mbowe ndio ziliokoa jahazi. Lakini bado wapambe walimlaumu kwa kuwazuia kumdhuru mwakilishi wa serikali. Sitashangaa kuona baadhi ya wapambe wa Chadema wakitaka kuwafanyia fujo wajumbe kutoka serikalini, CCM na/au Chaumma. Wakifanya hivyo watakiharibia chama chao.Ni bora wasiende, hawachelewi kuleta vurugu na kupiga watu risasi hao, wamewehuka kabisa siku hizi.
Kwani mzee wenu Butiku mliyemgeuza chawa alisemaje juzi kuhusu ule msiba?Nakumbuka katika msiba wa Mzee Kibao, ni mashabiki wa Chadema ndio waliotaka kumfanyia fujo muwakilishi wa serikali na sio vice versa. Ni busara za Mbowe ndio ziliokoa jahazi. Lakini bado wapambe walimlaumu kwa kuwazuia kumdhuru mwakilishi wa serikali. Sitashangaa kuona baadhi ya wapambe wa Chadema wakitaka kuwafanyia fujo wajumbe kutoka serikalini, CCM na/au Chaumma. Wakifanya hivyo watakiharibia chama chao.
Amandla...
Ni vyema. Lakini haimaanishi kuwa CCM na serikali yake wanakatazwa kushiriki katika mazishi haya.
Amandla...
Muhakikishe shughuli zote za chama ikiwemo hotuba ya Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA inarushwa pia TBC bila kukata matangazo.Sijasikia pia mahali ambapo serikali imesema itabeba msiba huu. Kinachoendelea ni watu kutaka Samia azuiwe kushiriki katika mazishi. Kushiriki kwake hakutamaanisha kuwa serikali inaongoza mazishi hayo. Rumor hizo zinasambazwa na watu wenye chuki binafsi na Mbowe.
Amandla...
Nakumbuka katika msiba wa Mzee Kibao, ni mashabiki wa Chadema ndio waliotaka kumfanyia fujo muwakilishi wa serikali na sio vice versa. Ni busara za Mbowe ndio ziliokoa jahazi. Lakini bado wapambe walimlaumu kwa kuwazuia kumdhuru mwakilishi wa serikali. Sitashangaa kuona baadhi ya wapambe wa Chadema wakitaka kuwafanyia fujo wajumbe kutoka serikalini, CCM na/au Chaumma. Wakifanya hivyo watakiharibia chama chao.
Amandla...
Nani kakwambia Samia anahudhuria mbona hayupo kwenye ratiba au ni siri.Waambie wale wanaotaka familia imkatalie Samia kuhudhuria mazishi. Naamini wangeweza wangependa hata Mbowe azuiwe kushiriki. Watu wa ovyo sana.
Amandla...
Humu ndani mnamshutumu Samia kwa kuua watanzania kibao. Kwa nini basi msimfanyie fujo yeye na/au mwakilishi wake kama mlivyotaka kufanya kwenye msiba wa Ali Kibao. Angalau Ali Kibao aliweza kuzikwa sembuse wale ambao hawajaweza kuzika ndugu zao mpaka leo! Hapa panahitaji busara na uvumilivu mkubwa kuhakikisha kuwa marehemu anazikwa kwa heshima anayo stahili.Msiba wa Hayati Mtei na Ali Kibao, ni mazingira tofauti kabisa.
Hasira za watu kwa msiba wa Ali Kibao, fikiria Samuya na watu wake walimteka na kumwua Ali Kibao, halafu wanamtuma mtu eti awawakilishe kwenye maziko! Nadhani hata wewe hapo ufahami kuwa nduguyo ameuawa na jitu fulani, halafu jitu hilo, siku ya maziko ya nduguyo, linatuma mtu eti aliwakilishe kwenye msiba, utajisikiaje? Utaligurahia na kulishangilia kuwa lina upendo?
Mimi sijui kama atahudhuria au la. Lakini humu ndani kuna mabandiko kibao yanayotaka asiruhusiwe kuhudhuria. Labda wao wana siri wanayojua.Nani kakwambia Samia anahudhuria mbona hayupo kwenye ratiba au ni siri.
Rais asiende,atume mtuSijasikia pia mahali ambapo serikali imesema itabeba msiba huu. Kinachoendelea ni watu kutaka Samia azuiwe kushiriki katika mazishi. Kushiriki kwake hakutamaanisha kuwa serikali inaongoza mazishi hayo. Rumor hizo zinasambazwa na watu wenye chuki binafsi na Mbowe.
Amandla...
Wewe kweli ni fundi mchundo.Mimi sijui kama atahudhuria au la. Lakini humu ndani kuna mabandiko kibao yanayotaka asiruhusiwe kuhudhuria. Labda wao wana siri wanayojua.
Lakini hata kama hatahudhuria binafsi ni lazima serikali na/au chama chake kitakuwa na muwakilishi.
Amandla...