Chadema kupeleka maombi mahakama hukumu ya Tundu Lissu irushwe live

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinakusudia kupeleka maombi mahsusi kwa uongozi wa Mahakama, ili ikiwezekana HUKUMU ya KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu inayotarajiwa kutolewa Novemba 06.2026 irushwe Mubashara (LIVE) na Vyombo vya Habari na Mitandao mbalimbali ya kijamii

Sambamba na hilo, CHADEMA imeendelea kutoa wito kwa viongozi, makada wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kumuombea Lissu kuelekea siku hiyo, huku pia ikitoa wito wa kujitokeza kwa WINGI Mahakamani siku ya HUKUMU

Hayo yamezungumzwa na Mwanasheria Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala mbele ya Waandishi wa Habari, Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Oktoba 22.2026, muda mfupi baada ya chama hicho kuibuka kidedea kwa kumgaragaza Mahakamani, aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wake Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis, waliokuwa wameomba chama hicho kipigwe 'STOP' kufanya shughuli zote za kisiasa na kiutendaji sambamba na kuzuiwa kutumia raslimali za chama hicho ikiwemo majengo, magari na fedha hadi hapo KESI ya madai waliyofungua itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi

Amesema licha ya changamoto lukuki 'wanazopitishwa' chama hicho lakini wataendelea kuendesha mapambano ya kuipinga serikali na matendo yote wanayoona mabaya kwa kutumia njia za HAKI ikiwemo Mahakama, na si kwa njia ya mabavu, badala yake wataendelea kupigania uwepo wa Demokrasia na Utawala Bora unaozingatia misingi ya Kisheria na Kikatiba.

Chanzo : Royal Tv

Ombi la chadema likikubaliwa na mahakama itakuwa poa sana kutazama hukumu mubashara, lissu akiibuka mshindi kwa kishindo.
 
Na akihukumiwa kunyongwa hadi kufa pia tuoneshwe laivu wakati ananyongwa hadi kufa!😡😡😡😡
 
Ombi la chadema likikubaliwa na mahakama itakuwa poa sana kutazama hukumu mubashara, lissu akiibuka mshindi kwa kishindo.
Na akihukumiwa kunyongwa taarifa itasambaa kwa haraka zaidi na kuleta taharuki.
 
Acheni uoga. Jifunzeni kuheshimu sheria za Nchi na kutii mamlaka, vinginevyo mtapata taabu sana.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinakusudia kupeleka maombi mahsusi kwa uongozi wa Mahakama, ili ikiwezekana HUKUMU ya KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu inayotarajiwa kutolewa Novemba 06.2026 irushwe Mubashara (LIVE) na Vyombo vya Habari na Mitandao mbalimbali ya kijamii

Sambamba na hilo, CHADEMA imeendelea kutoa wito kwa viongozi, makada wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kumuombea Lissu kuelekea siku hiyo, huku pia ikitoa wito wa kujitokeza kwa WINGI Mahakamani siku ya HUKUMU

Hayo yamezungumzwa na Mwanasheria Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala mbele ya Waandishi wa Habari, Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Oktoba 22.2026, muda mfupi baada ya chama hicho kuibuka kidedea kwa kumgaragaza Mahakamani, aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wake Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis, waliokuwa wameomba chama hicho kipigwe 'STOP' kufanya shughuli zote za kisiasa na kiutendaji sambamba na kuzuiwa kutumia raslimali za chama hicho ikiwemo majengo, magari na fedha hadi hapo KESI ya madai waliyofungua itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi

Amesema licha ya changamoto lukuki 'wanazopitishwa' chama hicho lakini wataendelea kuendesha mapambano ya kuipinga serikali na matendo yote wanayoona mabaya kwa kutumia njia za HAKI ikiwemo Mahakama, na si kwa njia ya mabavu, badala yake wataendelea kupigania uwepo wa Demokrasia na Utawala Bora unaozingatia misingi ya Kisheria na Kikatiba.

Chanzo : Royal Tv

ok. :pedroP:

kumbuka hukumu iko pale pale isomwe live au vinginevyo🐒
 
Ombi la chadema likikubaliwa na mahakama itakuwa poa sana kutazama hukumu mubashara, lissu akiibuka mshindi kwa kishindo.
Wakikubali tu TAL out ! Wakikataa ujue hamna cha maana upuuzi bado umewajaaa
 
Hukumu hutolewa ili iwe fundisho kwa mhalifu na pia kwa wengine wenye matendo na tabia kama hiyo.
Kwa hiyo, ikiwa live, ufanisi wa kufikia lengo hilo utaongezeka.
 
Acheni uoga. Jifunzeni kuheshimu sheria za Nchi na kutii mamlaka, vinginevyo mtapata taabu sana.

Mwendawazimu punguani uliyekosa hekima na uelewa! Hivi unaelewa Mamlaka ni nani?
Katiba yetu inatamka kuwa umma wa Watanzania ndiyo mamlaka ya juu na ya mwisho. Viongozi na watendaji wote wanatakiwa kuheshimu matakwa ya umma.
 
Marekani na kwa mabwana zenu kote hukumu za mahakama hazijawahi kuwa live acheni Uonga mabwanyenye watajua kupitia media
 
Back
Top Bottom