CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

Wahafidhina wapo madarakani kwa nguvu ya power bank.
 
Bila ridhaa ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Chama pendwa watashikaje dola?
Jeshi la Wananchi lilinde mipaka, Polisi walinde raia na mali zao, Magereza walinde wafungwa, uhamiaji wahakikishe viongozi wetu ni raia, kila chombo kifuate majukumu ya kuanzishwa kwake kwa mujibu wa Katiba.

Vyombo vya ulinzi na usalama sio kazi yao kuingia kwenye Siasa watuachie sisi WANANCHI tuamue tunataka viongozi wa aina gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…