DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kuna yule jamaa anapenda ku Comment job true true, hii nayo ni job true trueCHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI
"Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi." - @JonMrema, Mkurugenzi wa Itikadi CHADEMA
View attachment 2873672
Wewe dada kuwa na heshimaHawa na viherehere vyao ni kuzolewa pamoja na takataka mpaka jalalani huko. Waende wakafanye usafi kwenye ofisi zao chafuchafu pale ufipa
Luca hatujaona namba ya simu hapa ningekualika ujiunge nasi kufanya usafi na kupita barabara safi baadae🤔Hawa na viherehere vyao ni kuzolewa pamoja na takataka mpaka jalalani huko. Waende wakafanye usafi kwenye ofisi zao chafuchafu pale ufipa
Kwani hujawahi kuona hata ushirikiano wa panya na nyau,hata uvccm tunamialikeni kwenye usafi baadae kwenye maandamano ya amani🤔Ngoja tuone huo ushirikiano
[emoji1]
Ova
Sema neno basiDuh aiseee
Kawapikie watoto wako na mumeo dinnerHawa na viherehere vyao ni kuzolewa pamoja na takataka mpaka jalalani huko. Waende wakafanye usafi kwenye ofisi zao chafuchafu pale ufipa
Ila jamaa waoga sana. Kwani wanaogopa nini?? Mimi sipati picha jamaa wakisikia maandamano wanachachawa sana. Ngoja tuone mwisho wa picha hili, Sterling atabaki salama?Kwani wakiachiwa waandamane,tena MAANDAMANO yenyewe ni ya AMANI na yameruhusiwe na KATIBA,kuna shida?..
Tumieni robo tu ya hao WANAJESHI kulinda hao RAIA WEMA wataoandamana dhidi ya WAKORA,period!