Pre GE2025 CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi.

John Mrema
Mkurugenzi wa Itikadi, Chadema
 
Safii
 
Bora muwe mnatoa elimu ya sera yenu ili watu wafahamu wakiwaamini kuwapa madaraka. nini ni kipaumbele na lipi lengo na njia ipi kufikia lengo
Hayo ystasaidia kuliko haya mengine ya kuzingushana kama paka na panya.
 
Wakijifanya wanajua Huku, na sisi tunajua kule!
 
Bora muwe mnatoa elimu ya sera yenu ili watu wafahamu wakiwaamini kuwapa madaraka. nini ni kipaumbele na lipi lengo na njia ipi kufikia lengo
Hayo ystasaidia kuliko haya mengine ya kuzingushana kama paka na panya.
Strategists wa Chadema aliondoka na viatu vyake. Lengo, end i-justify means!!!
 
Akili ndogo MIDOMO WAZI...

Siasa ni Sayansi.....

Hii inatwa Kingi ...Chama AKILI KUBWA.....
 
Mrema aangalie propaganda zake zisikitoe chama kwenye reli - Focus ni maandamano.
 
Kiukweli kabisa lQ za hawa jamaa bora nyumbu
 
Akili ndogo MIDOMO WAZI...

Siasa ni Sayansi.....

Hii inatwa Kingi ...Chama AKILI KUBWA.....
Sasa hapo akili gani? Wenzako wanafanya usafi tarehe 23-24, wew unataka kuandamana tarehe 24 wakati wenzako wanafanya usafi unadhani utaweza? Hio ni propaganda ila haitaisaidia
 
Bora muwe mnatoa elimu ya sera yenu ili watu wafahamu wakiwaamini kuwapa madaraka. nini ni kipaumbele na lipi lengo na njia ipi kufikia lengo
Hayo ystasaidia kuliko haya mengine ya kuzingushana kama paka na panya.
Sera ya chama hutolewa wakati gani bandugu? Unajua kwann wanaandamana? Unajua hicho wanachoandamania ndiyo kitawapeleka ikulu.
Soma na sikiliza kwanza kabla hujaandika kuuficha ujinga mkiu
 
Sasa hapo akili gani? Wenzako wanafanya usafi tarehe 23-24, wew unataka kuandamana tarehe 24 wakati wenzako wanafanya usafi unadhani utaweza? Hio ni propaganda ila haitaisaidia
Unafanya usafi tarehe 24. Wakati watu wanakufa kwa kipindupindu huko simiyu leo? Ulisoma shule gani
 
hiyo nakubali nakuunga mkono kabisa na kwakweli nimeifurahia sana panyarodi kujitokeza kwa wingi kushiriki usafi, hii ndio raha ya kubadili gia angani 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…