CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

Unaposema “P'se Tuteulieni Jembe Upendo Furaha Peneza, Atatusaidia…” una maanisha nini? Atatusaidia wapi wakati hajawa mbunge?

Mgombea kutoka CHADEMA lazima apigiwe kura na obviously wabunge wa CCM hawatompa kura

I guess ndio sababu CHADEMA hawaoni sababu ya kupoteza muda na nguvu zao
 
Kwa maandishi hayo meusi ndugu Pascal Mayalla uwe tayari kuitwa mahakamani kutoa ushahidi na kuitamatisha kesi ya chadema dhidi ya Halima Mdee na wenzake
 
Kwà msiomjua mayaula mayoni ni mlevi mbwa Ndio maana hachaguliki na hateuliki na hata uchawa wake kwà mcc hauna heshima bora hata steve Nyerere ana sauti ikulu sio huyu mayaula mayoni.
 
Unasoma uzi wako unajua kuwa hupo. Depressed
 
Wakati wako wa kuteuliwa umefika, umeshajibebisha vya kutosha, na hii ya kugombea ubunge eala ilikuwa ni njia tu ya kutaka ujibebishe zaidi, wewe mwenyewe ulikuwa unajua kwamba huchaguliki, kumbuka kura yako moja.
 
selfishness
 
You must be stupid, ndiyo maana umekosa kuteuliwa na CCM. Unaandika ujinga jitu zima eti senoir journalist.
 
P ile interview ambayo bi-dada uliyemnyoosha na kalamu yako kumbe ilikuwa ni kwenda EALA?
Maisha ya Interview za kujuana magumu sana uliza sensa
 
Hongera Kwa kuonesha Nia, Mchakato umeisha naamini umepata funzo ili 2027 ujipange vizuri.
 
You must be stupid, ndiyo maana umekosa kuteuliwa na CCM. Unaandika ujinga jitu zima eti senoir journalist.
Mkuu Retired, we are all humans, no one is perfect, huna haja ya kunitukana stupid!. Sijateuliwa sio kwasababu ya stupidity bali nizidiwa sifa na vigezo, waliopitishwa ni wazuri zaidi yangu na hili nimelisema hapa EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

Kuhusu huku kutukana na kubeza kupitiliza, nimeomba "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

P
 
Hivi mtu kuvunja Sheria za nchi kwa makusudi kabisa nao ni uzalendo kaka P?.kufanya maarifa nje ya taasis iliyopewa dhamana ya kudhamini wagombea wa nafasi za urais,ubunge,udiwani na uwenyekiti wavitongoj,mitaa na vijiji kisheria ni kosa la jinai mbele ya sheria.ni Bora tukaanzia tuliopo jikwaa iliturekebishe kuliko kuanzia tulipoangukia.2020 wote tunajua kilichotokea kwenye uchaguzi .si vizuri kukumbushana mabaya yaliyopita tukiwa kwenye mwelekeo wa kuridhiana kama taifa.mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki rais wetu na watu wako wote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…