CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

Kwanini CCM ilivyo kukataa kichwa,usiende wewe kugombea kupitia chàdema?
Covid 19 wangekupa mjinu za kupata fomu.
 
Unakera sana. One would expect Busara tena great Busara from your writings. Unaandika vitu vya usaliti. Eti shujaa Halima, wakati unajua fika kuwa kuna ubatili mkubwa sana kwenye upuuzi huu! Unakera. Nilitegemea you to fight injustices , sasa wewe unazi promote na kuzi propagate!
 
Kwanini CCM ilivyo kukataa kichwa,usiende wewe kugombea kupitia chàdema?
Covid 19 wangekupa mjinu za kupata fomu.
Upinzani una viti viwili tuu, na viko vyama vitatu tuu. Vyama pekee vyenye merit ya kusimamisha wagombea EALA Chadema na CUF, ACT haina kwasababu haina mbunge yoyote wa kuchaguliwa kutoka Bara ndani ya bunge la JMT, na tayari wameisha teua mgombea mwanaume, hivyo there is only one room left kwa mgombea mwanamke. Chadema should take this advantage, by the time wanamalizana na wale 19, for EALA it will be too little too late!.

P
 
Sasa P kama covid19 ni Hali basi nawetumia uzalendo,fanya maarifa nje ya utaratibu wa Chama ufuate Ile mbinu ya covid19 tukuone EALA🤔🤔
 
Huyo ndio P,mwingine photocopy,Chama chake bila shaka wameiona rangi yake🏃🏃
 
Wewe ndugu yangu,inaonekana una uhusiano mzuri na Covid19,na Mdee sasa hivi amepata cheo LAA(kama sijakosea),hebu mshirikishe akupe maarifa aliyotumia,yeye na wenzake,hadi wakaingia bungeni.Hiyo mbinu,inaweza kukufanya ukaiwakilisha CHADEMA,kwenye nafasi za EALA,CHADEMA wakija kushtuka,ushakua mbunge na kesi inaenda mahakamani,tena wewe najua ni wakili msomi,umeiva kwenye legal practice,utawashinda tu,au utatumia mbinu ya kuchelewesha maamuzi,usifanye kama Kenya wanavyoharakisha kutoa hukumu.
 
Wewe ulie tia nia kwa kupitia Ccm umeishia wapi?
 
Bora mayalla atemwe ndiyo ajue CCM Ina wenyewe. Labda ataacha kuitetea hata penye makosa!
 
Mlipowaengua kwenye uchaguzi wa 2020, kuwafunga,kuwauwa,kuwasingizia kesi za uongo na mengine mengi mabaya hamkujua kama pia ilikuwa mheshimu raia na haki zao na huwo ni miongoni mwa uzalendo kwa wananchi wako na taifa kiujumla. Leo ndio unajua hayo ya kutanguliza uzalendo.

Wacheni upimbi.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Umemjibu vema kabisa. asante sana Pascal Mayalla tumia mbinu za akina halima uende EALA....
 
Udhaifu wa ubinafsi
 
Chadema yenye uwezo wa kureason na kuona mbele ilikufa miaka kadhaa iliyopita, hii iliyopo sasa hivi hakuna chochote zaidi ya porojo na ubabaishaji tu.
 
Unakera sana. One would expect Busara tena great Busara from your writings.
Mkuu Retired, no matter nakukera kiasi gani kwa maandishi yangu, but this doesn't warrant you kunitukana!, busara pia ni relative na inafuata kanuni ya relativity, hivyo busara kwa mmoja inaweza isiwe ni busara kwa mwingine!. Mimi nimeoa 1995 at 26!, wife ni school mate wangu was 21, mtoto wa kwanza nimepata 1996, nikaja ku join UDSM 2003 at 33, with fame, money, transport na single room Mabibo hostel!, everything one needs kuwatafuna wale dagaa wategemea boom!. Huwezi amini!, sikuwahi kugusa kitoto chochote cha chuo kwa miaka yote 4 ya chuo, kwasababu kwangu sio busara married men kutafuta vidagaa, wakati kuna mzee mzima mwenzangu at 73 alioa kabinti twenties na kwake hiyo ni busara kabinti kamrudishie ujana!.

Chadema kabla haijawachukulia hatua, kwangu busara ni kufanya kwanza a due diligence kujua barua iliandikwa na nani, ikasainiwa na nani, ikapelekwa na nani!, baada ya kujiridhisha there were forgery ndipo iwashitaki na kuwafukuza!. Na hata mngethibitisha forgery, busara kwangu ni kuwatimua kwa mujibu wa katiba, sheria taratibu na kanuni zenu wenyewe!. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Unaandika vitu vya usaliti. Eti shujaa Halima, wakati unajua fika kuwa kuna ubatili mkubwa sana kwenye upuuzi huu! Unakera.
Hawa ni mashujaa walioipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!, hata kama walikuja kukisailiti, huwezi kuyafuta, machozi, jasho na damu waliopigania Chachema Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Nilitegemea you to fight injustices , sasa wewe unazi promote na kuzi propagate!
Kiukweli, baada ya kuwa wakili, niliamua kazi yangu ya kwanza ni kusaidiana na mawakili wao kuwatetea, ili wasishindwe, kuna sauti nikaisikia... The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
P
 
Usiwastue mkuu,Tunaomba wasusie na uchaguzi mkuu wa 2025 itapendeza zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…