CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

Lissu alivyokosa urais basi hataki mwanachadema yeyote apate cheo, ni mbinafsi sana na ana roho mbaya sana
 
Kuzunguka dunia , kumiliki B Kwa account , ku black mail watu, kupata ajali, kukimbiwa na mke, kufail interview, kuambiwa maana yko ni njaa....yaan bado Tu haoni kua hahitajik na yeyote popote !!!!!


Puuuuh
 
Lazima apitie hapa na kushusha like🚶
 

Heshimu maamuzi ya chadema Kama ulivyoheshimu maamuzi ya CCM kawe kukupa kura moja na juzi CCM taifa kukuona haufai kwenda EALA. Usilazimishe opinion yako kuwa sahihi na kuona wengine hawafai.

Unasema mashujaa wametafuta mchakato nje ya chama wakaenda bungeni, je nini maana ya kuwa na chama?. Kama chama kipo kwanini uyumie njia haramu. Chadema iwaachie cuf na ACT waende kwenye hiyo nafasi moja.
 
Kuzunguka dunia,
Maadam bado niko hai, kuzunguka dunia bado kunaendelea tena enzi hizo nilikuwa natumia economy class, lakini sasa kufuatia ile ajali na status ya mkono wangu, sasa natumia business class!
kumiliki B Kwa account,
Japo zimepururuka sasa ni 00.0 ila hii ya kupata na kukosa ni mipango tuu ya Mungu, kupitia uwakili unaweza kufuma deal moja tuu kubwa ya kugonga tuu muhuri na account ikasoma tena B!.
ku black mail watu,
Kiukweli hakuna mkamilifu tena she was very lucky nilipokataliwa ndio nikamlipua!, kuna wengine they were not so lucky, nilikuwa nikiona na moyo kutaka, naita mahali na kujichukulia tuu kama yangu!. Kiukweli haya ninayopitia sasa kufidia matendo yangu ya yuma, acha tuu niendelee kulipa, deni likiisha narudi tena juu being great again ila this time nikiwa mtu mwema!.
kupata ajali,
Hii ni fidia ya accumulation ya karma, kikombe hiki nimekipokea na shukrani nimetoa Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
kukimbiwa na mke,
Its true ni pigo kubwa sana in life, ila pia kuna mapigo mengine na mapito mengine ni blessing in disguise!. She is now a US subject, na ikitokea unanijua in realty, siku ukiniona na drive a Mercedes Benz S-Class ya 0km in Dar streets, usidhani ni pesa ya PPR!.
kufail interview,
Interview sikufeli, bali nilizidiwa sifa na vigezo na watu wazuri zaidi kuliko mimi EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!
kuambiwa maana yko ni njaa.
He who laugh last, laugh most!. He who lives last lives most!. Kati ya mtamka na mtamkiwa, nani yupo?.
yaan bado Tu haoni kua hahitajik na yeyote popote !!!!!
Not, its not the case!. Hivi hivi nilivyo, nikitangaza tuu natafuta... ni foleni mpaka feri!.
Ila pia kiukweli hili la EALA nilitumia all my powers from within to make it happen, nika consolidates na powers kutoka kwa wana jf, lakini bado it didn't happen!. Huwezi jua Mungu anakuepusha na nini!. Tumefunzwa kushukuru kwa yote hivyo na mimi nashukuru kwa yote, kitu muhimu ni kutenda mema, sasa mimi ni mtu mwema zaidi kwa nchi yangu, chama changu, familia yangu na kwangu mimi mwenyewe!.
Mungu nisaidie!.
P
 
Heshimu maamuzi ya chadema Kama ulivyoheshimu maamuzi ya CCM kawe kukupa kura moja na juzi CCM taifa kukuona haufai kwenda EALA.
Asante, sasa naheshimu maamuzi.
Usilazimishe opinion yako kuwa sahihi na kuona wengine hawafai.
Sikalazimisha opinion yangu kuwa ndio sahihi wala sijasema wengine hawafai, mimi nimeshauri tuu, na kutoa sababu za ushauri wangu.
Unasema mashujaa
Yes hawa ni mashujaa, once shujaa, always shujaa! Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
wametafuta mchakato nje ya chama wakaenda bungeni, je nini maana ya kuwa na chama?. Kama chama kipo kwanini uyumie njia haramu.
Kwa vile chama kinaongozwa na binadamu, hao binadamu wanaweza kufanya mistakes, hivyo viongozi wakifanya mistakes, wanao ona ni kosa, they did the right thing
Chadema iwaachie cuf na ACT waende kwenye hiyo nafasi moja.
Sawa!.
P
 
KWANI CHADEMA NI KITU GANI UNAIZUNGUKIA HIVI? INAKUHUSU? WAACHE WAFANYE WANAYOONA YATAWAPELEKA WANAKOTAKA ILI MRADI YASITUSABABISHIE MATATIZO. NYIE ENDELEENI NANYI KUFANYAVIVYO HIVYO. MBONA TOZO HUJALIZUNGUMZIA UNAZUNGUMZA HILI LA EALA AMBALO SILIONI KAMA KITU. MBONA UAMUZI WAKE WA MGOMBEA BINAFSI HAUJATEKELEZWA NA SERIKALI? HAINA MENO
 
Paskali punguza kujikubali haiwezekani kila ukitia mguu wewe tu ndio unashindwa, jitathmini unakwama wapi. Ebu shinda hata chaguzi moja kwanza usitegemee mbeleke weka mikakati kabambe ya kushinda na shindana kweli na Chadema kususa sio selfish ndio hatua sahihi kuchukua sasa.
Narudia tena Paskali na wengine Nguruwe ni haramu haijalishi kachinja nani kwa imani ya kiislamu, na sio kachinjwa na shekh ndio awe halali, kama chadema walikataa uchaguzi uliopita basi na makandokando yake yote hakuna kushirikiana nayo.
 
 
Hao wote wanaokimbilia nafasi huko
Ubunge wa afrika mashariki ni wasaka
Tonge tu,kwanza vichwa vyao having uwezo wa kucompete na vichwa toka rwanda,kenya,Uganda

Ova
 
Paskali! ww si ulipigwa chini CCM juzi tu hapa kwenye ubunge huo huo? Naona hasira umeziamishia Chadema sasa. ww jamaa unatapatapa sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…