Karibuni ccm tuitafune nchiEndeleeni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni ccm tuitafune nchiEndeleeni tu
TOZO pumbavu zao.. wanatamba wanatukamua mpaka ”NGAMA ”na hakuna tunachowafanya. MaCCM watayalipa mateso wanayowapatia watanzania siku moja.Hiyo hafla inagharamikiwa na nani? Kwa fedha zipi?
Kama hujui hasara ya mambo haya muulize Magufuli kilichomfanya atumie mabilioni ya hela kununua Halima Mdee na wenzakeCDM wanavyojitunisha unaweza kudhani ni Republicans, ODM or Labour party! Kumbe chama chenyewe kimeshajifia zamani, yamebaki mabaki machache jf na Twitter
Endeleeni tuMkisusa mnafikiri ndio ripoti haitokabidhiwa?
Wanataka kutuchafua hao wahuniSafi kabisa, hakuna kushiriki mkutano wa wahuni.
Uamuzi wa busara sana.. Mungu ibariki CHADEMA...! Na watu wake wote
Habari ndiyo hiyo,anyepingana na hizo hoja atakuwa mchawi wa nchi hii.Uzuri huwa hawakawii na hawajifichi.Watakuja kusema CHADEMA wametumwa na mabeberu na wanapinga kila kitu ilhali CCM ikipinga hoja mujarab za CHADEMA na wapinzani wengine zenye maslahi ya Wananchi kwa kudai siyo vipaumbele vyao.Mifano IPO mingi na mkubwa mojawapo ni Mchakato wa kuandika Katiba.Tulitumia fedha nyingi za walipa kodi maskini(wanyonge) ambazo hazipungui 100Billion halafu wanadai so kipaumbele chao?Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Chama kupitia barua ya Katibu Mkuu kimemjulisha Mkurugenzi wa uchaguzi kuwa hatutashiriki hafla iliyopangwa kufanyika Ikulu tarehe 21 Agosti 2021 kwa sababu zifuatazo:
1. Hakukuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2020; kulikuwa na "Uchafuzi Mkuu" uliohusisha uporaji wa ridhaa ya wananchi kuchagua viongozi wao na ukiukwaji mkubwa wa sheria na haki. Kwa sababu ya kukosa uhuru kama taasisi, Tume ya Uchaguzi ilishiriki moja kwa moja katika kuharibu mchakato wa Uchaguzi Mkuu na kusababisha kuwa na "Uchafuzi Mkuu".
Sisi hatuwezi kushiriki kwenye tukio lolote litakalohalalisha Uchafuzi Mkuu huo mbele ya macho ya jamii ndani ya Tanzania na kimataifa.
2. Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amepewa kesi ya kubambikiza ya ugaidi kwa sababu ya chuki za kisiasa dhidi yetu. Tunaelekeza nguvu na muda tulionao kufanya jitihada za kuhakikisha Mwenyekiti wetu na viongozi na wanachama wengine waliokamatwa kwa uonevu na wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wanaachiliwa huru.
3. Aliyekuwa mgombea urais wetu na Makamu Mwenyekiti wa chama Bara , Mheshimiwa Tundu Lissu, 'alilazimishwa kukimbilia nje ya nchi ' kwa sababu ya vitisho dhidi ya maisha yake vilivyofanywa na vyombo vya usalama au kwa ushiriki au baraka za vyombo hivyo.
Alikamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nje ya Ubalozi wa Ujerumani, na isingekuwa wanadiplomasia wa Ofisi ya Ubalozi wa Ujerumani kuingilia kati angeweza kudhuriwa na Jeshi la Polisi.
Aidha, Mkuu wa Jeshi la Polisi amesema hadharani kwamba Mheshimiwa Lissu hatapatiwa ulinzi wowote wa polisi licha ya ukweli kwamba aliponea chupu chupu jaribio la mauaji la tarehe 7 September 2017, jaribio ambalo halijawahi kuchunguzwa na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya wahusika.
Bila kuhakikishiwa usalama na uhuru wake, ikiwemo kufutiwa kesi za uongo alizofunguliwa mahakamani kati ya 2016 na 2017, Mheshimiwa Lissu hajioni kuwa atakuwa salama kuweza kurudi nyumbani kushiriki kwenye shughuli za kisiasa za nchi yetu ikiwemo kushiriki kwenye tukio hili.
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi haijajibu mpaka sasa barua ya Katibu Mkuu ya tarehe 25 Novemba 2020 yenye kumb. Na. C/HQ/ADM/20/TU/05/14 ambapo alitaka maelezo ni nani alisaini barua na fomu za waliotangazwa kuwa wabunge wa viti maalum na kutupatia nakala ya nyaraka husika kwa ajili ya kuchukua hatua kwa kuzingatia kuwa Kamati Kuu haijawahi kufanya uteuzi wala Katibu Mkuu hajawahi kuwasilisha orodha ya majina katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
5. Kwa sasa na kwa siku zijazo, agenda kuu ya chama chetu ni kuhakikisha tunapata Katiba Mpya itakayotengeneza mfumo huru na wa kidemokrasia wa uchaguzi kwa nchi yetu. Kushiriki katika mialiko na shughuli za Tume isiyokuwa huru ni kuipa baraka za kisiasa Tume hiyo, na kupunguza nguvu na ari ya jitihada za kufanya mabadiliko yanayohitajika katika nchi yetu.
Kutokana na sababu tajwa hapo juu Chama hakitatuma mwakilishi katika hafla hiyo na badala yake tutaendeleza nguvu kutetea Uhuru,Haki,demokrasia na Maendeleo ya watu.
Imetolewa Leo Ijumaa tarehe 20 Agosti,2021
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya NjeView attachment 1899771View attachment 1899772
Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Mbeleko hiyo ya wanakijani ijibebe yenyewe au ibebwe na wanakijani kwani walikuwa mstari wa mbere kufanikisha uchafuzi mkuu na uchafuzi wa mitaa.Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Chama kupitia barua ya Katibu Mkuu kimemjulisha Mkurugenzi wa uchaguzi kuwa hatutashiriki hafla iliyopangwa kufanyika Ikulu tarehe 21 Agosti 2021 kwa sababu zifuatazo:
1. Hakukuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2020; kulikuwa na "Uchafuzi Mkuu" uliohusisha uporaji wa ridhaa ya wananchi kuchagua viongozi wao na ukiukwaji mkubwa wa sheria na haki. Kwa sababu ya kukosa uhuru kama taasisi, Tume ya Uchaguzi ilishiriki moja kwa moja katika kuharibu mchakato wa Uchaguzi Mkuu na kusababisha kuwa na "Uchafuzi Mkuu".
Sisi hatuwezi kushiriki kwenye tukio lolote litakalohalalisha Uchafuzi Mkuu huo mbele ya macho ya jamii ndani ya Tanzania na kimataifa.
2. Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amepewa kesi ya kubambikiza ya ugaidi kwa sababu ya chuki za kisiasa dhidi yetu. Tunaelekeza nguvu na muda tulionao kufanya jitihada za kuhakikisha Mwenyekiti wetu na viongozi na wanachama wengine waliokamatwa kwa uonevu na wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wanaachiliwa huru.
3. Aliyekuwa mgombea urais wetu na Makamu Mwenyekiti wa chama Bara , Mheshimiwa Tundu Lissu, 'alilazimishwa kukimbilia nje ya nchi ' kwa sababu ya vitisho dhidi ya maisha yake vilivyofanywa na vyombo vya usalama au kwa ushiriki au baraka za vyombo hivyo.
Alikamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nje ya Ubalozi wa Ujerumani, na isingekuwa wanadiplomasia wa Ofisi ya Ubalozi wa Ujerumani kuingilia kati angeweza kudhuriwa na Jeshi la Polisi.
Aidha, Mkuu wa Jeshi la Polisi amesema hadharani kwamba Mheshimiwa Lissu hatapatiwa ulinzi wowote wa polisi licha ya ukweli kwamba aliponea chupu chupu jaribio la mauaji la tarehe 7 September 2017, jaribio ambalo halijawahi kuchunguzwa na hatua stahiki kuchukuliwa dhidi ya wahusika.
Bila kuhakikishiwa usalama na uhuru wake, ikiwemo kufutiwa kesi za uongo alizofunguliwa mahakamani kati ya 2016 na 2017, Mheshimiwa Lissu hajioni kuwa atakuwa salama kuweza kurudi nyumbani kushiriki kwenye shughuli za kisiasa za nchi yetu ikiwemo kushiriki kwenye tukio hili.
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi haijajibu mpaka sasa barua ya Katibu Mkuu ya tarehe 25 Novemba 2020 yenye kumb. Na. C/HQ/ADM/20/TU/05/14 ambapo alitaka maelezo ni nani alisaini barua na fomu za waliotangazwa kuwa wabunge wa viti maalum na kutupatia nakala ya nyaraka husika kwa ajili ya kuchukua hatua kwa kuzingatia kuwa Kamati Kuu haijawahi kufanya uteuzi wala Katibu Mkuu hajawahi kuwasilisha orodha ya majina katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
5. Kwa sasa na kwa siku zijazo, agenda kuu ya chama chetu ni kuhakikisha tunapata Katiba Mpya itakayotengeneza mfumo huru na wa kidemokrasia wa uchaguzi kwa nchi yetu. Kushiriki katika mialiko na shughuli za Tume isiyokuwa huru ni kuipa baraka za kisiasa Tume hiyo, na kupunguza nguvu na ari ya jitihada za kufanya mabadiliko yanayohitajika katika nchi yetu.
Kutokana na sababu tajwa hapo juu Chama hakitatuma mwakilishi katika hafla hiyo na badala yake tutaendeleza nguvu kutetea Uhuru,Haki,demokrasia na Maendeleo ya watu.
Imetolewa Leo Ijumaa tarehe 20 Agosti,2021
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya NjeView attachment 1899771View attachment 1899772
Halafu?Endeleeni tu
Magonjwa mtambuka,ndio mmekumbuka kuja kwa mnaowanyanyasa kutafuta tiba ya chafuzi wa mitaa na ule uchafuzi mkuu sio,dawa hatutoi ng'o ni bora mkadanja kuliko tuwape tiba.Halafu?
Hongereni sana Chadema.Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.