CHADEMA kutohudhuria hafla fupi ya kukabidhi taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020

Mwaka jana kulikuwa na wizi wa kishamba sana wa kura,Ni mjinga pekee anayeweza kufanya uchaguzi kwa style ile
 
Hiyo hafla inagharamikiwa na nani? Kwa fedha zipi?
TOZO pumbavu zao.. wanatamba wanatukamua mpaka ”NGAMA ”na hakuna tunachowafanya. MaCCM watayalipa mateso wanayowapatia watanzania siku moja.
 
Reactions: PNC
CDM wanavyojitunisha unaweza kudhani ni Republicans, ODM or Labour party! Kumbe chama chenyewe kimeshajifia zamani, yamebaki mabaki machache jf na Twitter
 
CDM wanavyojitunisha unaweza kudhani ni Republicans, ODM or Labour party! Kumbe chama chenyewe kimeshajifia zamani, yamebaki mabaki machache jf na Twitter
Kama hujui hasara ya mambo haya muulize Magufuli kilichomfanya atumie mabilioni ya hela kununua Halima Mdee na wenzake
 
nasubiri kumuona prof lipumba akihudhuria ripoti ya ubakwaji wa demokrasia
 
Habari ndiyo hiyo,anyepingana na hizo hoja atakuwa mchawi wa nchi hii.Uzuri huwa hawakawii na hawajifichi.Watakuja kusema CHADEMA wametumwa na mabeberu na wanapinga kila kitu ilhali CCM ikipinga hoja mujarab za CHADEMA na wapinzani wengine zenye maslahi ya Wananchi kwa kudai siyo vipaumbele vyao.Mifano IPO mingi na mkubwa mojawapo ni Mchakato wa kuandika Katiba.Tulitumia fedha nyingi za walipa kodi maskini(wanyonge) ambazo hazipungui 100Billion halafu wanadai so kipaumbele chao?
Kama siyo kipaumbele cha CCM ni kipaumbele chetu sisi Watanzania.
 
 
Mbeleko hiyo ya wanakijani ijibebe yenyewe au ibebwe na wanakijani kwani walikuwa mstari wa mbere kufanikisha uchafuzi mkuu na uchafuzi wa mitaa.
 
Ila uamuzi huo wa cdm umenifurahisha sana tena wamepinga kushiriki hafla hiyo kwa hoja mujarabu .Big up sana na mubarikiwe sana[emoji16][emoji16]
 
Hongereni sana Chadema.
Chama cha siasa kinapaswa kusimama kwa miguu yake na maono yake. Wakati wanaandaa mikakati ya hujuma walisahau kuwa ipo siku watawahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…