CHADEMA kutohudhuria hafla fupi ya kukabidhi taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020

Hongereni sana Chadema.
Chama cha siasa kinapaswa kusimama kwa miguu yake na maono yake. Wakati wanaandaa mikakati ya hujuma walisahau kuwa ipo siku watawahitaji
Ila Mimi sitashangaa wakiendeleza hujuma kwa kuwatumia covid 19 wa mzee wa bakora kuhalalisha undanganyifu wa ushiriki wa chama wanachokinyanyasa na kukionea kwa kuona kinahatarisha maslahi yao.
 
Hakukuwa na uchaguzi
 
Ni ushahidi usio na Shaka kuwa marehemu aliiba kura za chama chake.kushiriki hafla hiyo Ni kunajisi demokrasia.
 
Tume ya uchaguzi inayonyesha kuwa tuna na judge wasio waadilifu katika mahakama zetu
 
Magonjwa mtambuka,ndio mmekumbuka kuja kwa mnaowanyanyasa kutafuta tiba ya chafuzi wa mitaa na ule uchafuzi mkuu sio,dawa hatutoi ng'o ni bora mkadanja kuliko tuwape tiba.
Acha kuishi kwa kujidanganya.
 
Mwaka jana kulikuwa na wizi wa kishamba sana wa kura,Ni mjinga pekee anayeweza kufanya uchaguzi kwa style ile
Yaani mzee Mseveni mjanja anaiba kura afu wapinzani anawaachia viti vya kutoshaa,,sio km uku
 
kulikuwa na "Uchafuzi Mkuu"
hizi lugha zenu za kishenzi/kihuni zisizokua na adabu/nidhamu ndio zinawafanya mnashindwa kufikia malengo yenu. Mnadhani kila mtu ni mpumbavu kama nyinyi sio!
 
Kumbambikia watu kesi za kigaidi haileti baraka yoyote katika ccm bali laana ya milele
 
Ina maana huyo mkurugenzi wa tume haijui mh TAL ambaye alikuwa mgombea hayupo nchini na mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti anashikiliwa na vyombo vya dola watahudhuriaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…