PreGE2025 Chadema kutoingia kwenye Uchaguzi basi kama taifa tukaze mikanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uko sahihi tunategemea mikopo ya kausha damu kuendesha nchi

Mkopo kausha damu ni kutokuwa na mtiririko mzuri wa maingizo matumizi yanakuwa makubwa kuliko marejesho
 
Unajidanganya
 
Inaonekana Bujibuji ni mumeo.
Hivi BABA yako yuko proud kabisa na hali yako ya kujiita mama? Huoni kama inatembea chini ya kivuli cha laana ya ushoga? Yaani rasmi umeunajisi ukoo wenu, sasa umekuwa ukoo wa mashoga, na mkizaa watoto wa kiume, wote watakuwa ******* na mabinti zenu watakuwa wasagaji,.kwakuwa tayari wewe umeuingiza ukoo wako kwenye laana ya mapenzi ya jinsia moja
 
Mseven mbona anatawala milele hawekei vikwazo ?

Kagame mbona anatawala milele hawekewi vikwazo ?
 
Kwa ujumla, kila saa inayopita, watu wanaoichukia CCM, serikali yake na Rais wake wanaongezeka.

Lakini ndani ya CCM kwa sababu hekima yote imemezwa na tamaa ya maslahi binafsi, hakuna jambo la maana litafanywa kuliokoa Taifa. Na wananchi kwa vile tumekuwa waoga, sote tutaionja adhabu iliyostahili kwa CCM.

Kwa taarifa mbalimbali za kiintelijensia, kama CCM itaingia kwente uchaguzi wa maagizo kwa kutumia mifumo ya kidikteta kwa kuvishirikisha vyama mamluki ili kuhalalisha uovu wake, yapo mataifa ambayo yanasubiria mpaka mambo yatimilike, ili yafute uhusiano wake wa kidiplomasia na kiuchumi, na Tz. Na hapo sote tutaathirika kutokana na uharamia wa CCM.

Lakini hakuna namna, itabidi tuyakubali hayo, ili vizazi vya mbeleni vifaidi rasilimali zao. Kwa sasa kuna mipango mingi miovu ya gizani ya kuifanya Tz kuwa koloni la kiuchumi la waarabu. Bila kupata watu wa kuingilia kati, tumekwisha.
 
Mseven mbona anatawala milele hawekei vikwazo ?

Kagame mbona anatawala milele hawekewi vikwazo ?

Mseveni ni dikteta lakini ana uzalendo. Kagame ni dikteta lakini ana uzalendo. Lakini kwa Tanzania, ni kama tuna Serikali kibaraka ambayo ipo kwaajili ya kuyanufaisha mataifa ya kiarabu, kwa gharama ya kuidhoofisha Tanganyika.

Tanzania itakapokuwa Islamic republic, itakuwa threat kwa usalama wa nchi zote za mashariki na kusini mwa Afrika. Kwa sasa kuna jitihada kubwa zinaendelea zenye mwelekeo wa kuufanya uchumi wote mkubwa kushikwa na waarabu. Mtu akishashika nguvu zote za kiuchumi, ni rahisi kushika nguvu za kisiasa, wakishashika nguvu za kiuchumi na kisiasa, watakuwa wamefanikiwa mwenye mipango yao ya kisiasa.
 
Haiwezekani uwaze ushoga muda wote kama wewe sio shoga. Kijana mrudie Mungu kwani ushoga ni dhambi mbaya. Hadi kwenye ID yangu unaona ushoga tu. Kweli umekubuhu. Bado hujachelewa kuachana na hiyo dhambi.
 
Kweli kabisa. Swali kwako hivi CCM wanatetea nini? (Siasa safi? Rasilimali zinufaishe wakulima na wafanyakazi? Au wanatetea kubaki madarakani tu?)
Vyote, kama ambavyo wengine kama chadema wanavyofanya.
 
chadema kibaraka wa nan ? Na unaeza tupa ushahidi
Ni vibaraka wa kufa na kuzikana wa wazungu....
Ushahidi:
1. Familia ya mwenyekiti na baadhi ya viongozi wa juu zipo ulaya na zina uraia kabisa wa huko.
2. Mwenyekiti alikuwa mstari wa mbele kupinga miradi yote ya kimaendeleo ya kizalendo kwa kisingizio tutashitakiwa na wazungu (alitaka tuwaombe wazungu kwanza)
3. Mwenyekiti ananatetewa na wakili mzungu kutoka ulaya.......huu ni ukibaraka mkubwa sana (kwa mwenye akili lakini, kama huna tafadhali pita pembeni)
N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…