Pumbavu kibaraka wa mafisadi mlamba makalio ya watawala unajibu ili ukalipwe ngawira ya wizi..naona nonsense tupu gentleman,
samahani lakini kwa maoni hayo
Jambo kubwa lipo nyuma ya Taifa baada ya ccm chama tawala kuingia kwenye msuguano mkali wa no reform no election. Upo msemo unasema ogopa akili ya mwanadam. Mwisho wakunukuu. Soku zote ktk dunia ilio staarabika kila kitu kinaendeshwa kwa siri na kwa akili.. Yes....
Urusi aliingia vitani akiamini ata maliza vita kwa week moja ila sasa tunaenda mwaka wa tatu... mrusi anapotexa watu. Rasilimali, rasilimali watu na mbaya kuliko yote anapigana na watu hawajuwi huku akiishi kama panya ktk taifa lake... cha ajabu mkuu wa usalama wa urusi alionya mbele ya hadhira taifa lisiende vitani nani anakumbuka? Sasa kwa wale ni mashabiki msio soma ulimwengu wa kijasusi bado mpo gizani na msijuwe CIA miaka mingi tangu kuisha kwa www2 alionya European ipo siku urusi itageuka na wasimwamini sana mrusi kwa gas na mafuta ya bei rahis ipo siku atavitumia kumega ardhi yao vita ipo.
Ndugu zangu watanzania kwa wale tunapenda geopolitics mtakubaliana na mimi cia walifanya kila walicho weza kumzuwia putin asiwe rais maana angeweza anzisha vita ya tatu ya dunia jambo Raia alie mkabidhi madaraka ameona kabla ya kifo chake na kwa wajuvi wa mambo wanahisi hii taarifa ya siri ilimtesa sana.
Niukweli usio kuwa na punje yavukweli kwa sasa ccm na taifa sote tupo njia panda ila uwenda kama European viongozi ndani ya chama na serikali wameamuwa kuwa blind pasipo chakata na kuzisoma report za TIS nakuzifafanua nakuangalia best way kuliendesha taifa miaka mia inakuja ili kuepusha shida na mateso kwa wa Tz.
Ndugu zangu Baba wa Taifa alikuwa visionalist aliona leo na ktk vyumba vya sili aliwaambia majeneral na wakuu wa Taifa kile kitaenda kutokea mbeleni alijuwa na aliona na ilimuuma sana moaka alipo tutoka.
Kwana kung'atuka kwake madarakani kwa wale mnakumbuka kuondoka kwa mwalimu nakuweka sheria pasitokee mtu kuingoza zaid ya term mbili ilikuwa wazo lakimagharibi na presha ya geopolitics sera za ujama zilikumbwa na misuko suko mikali sana jambo hili lilimfanya Mwalimu kuondoka ili asile matapishi yake na kutapika tena alikuwa mwana ujamaa kweli kweli aliona yale Kambona aliyaona na akamuadhibu kumbe nikweli na mzee wa watu kwa ugwana wake akang'atuka na kweli Mwinyi aliifungua nchi japo wakati ule hapakuwa na mziki wa siasa za sasa..
Mwalim akiwa hai akaona ndani ya chama kuna chama kinaibuka ndani ya chama yaani matajiri wamekiteka chama tunaweza sema oligach jambo hili lilimtesa mwalim maana dhima ya chama ni kwa wakulima na wafanyakaz wote sio mabwenyenye hapa akiwa hai akaona ccm ilio jaa matajiri na watu wenye nguvu ya pesa kushawishi mambo yao ndani ya chama na serikali hili lilimtesa mpaka akifika hatuwa kumrushia Mwinyi kombora anaendesha nchi kwa ushauri wa mke.. Tunafanyeje kupumua ndani ya chama mara paa likaja shinikizo lakuwa na serikali ya vyama vingi na hapa ndipo Baba wa Taifa akaja na wazo jipya turuhusu sera ya vyama vingi hapa mwalim aliona jambo lingine na walio madarakani hawakukubali sana ila kwa shingo upande wakakubali ila nia ya Baba wa Taifa ilikuwa kwanza watapata nguvu ya kupumua ndani ya chama maana wasaliti wataondoka nakuunda vyama na haya madude yenye pesa yatatoka na kwenda fadhili nguvu zao nje ya chama. Kumbukeni ccm ni chama ila chini ya Hayati bab wa Taifa ccm ilikuwa kama tis nje ya mfumo wa serikali na ndani ya serikali. Pia mwalimu hapa ndipo aliweza tumia majasusi ndani ya chama kutoka na kuunda chama kuwahadaa naweza sema serikali za mgharibi tuna uhuru wa kujieleza ila sivyo ilivyokuwa ndani ya taifa na kweli wazungu walichezeshwa sana sana ila jambo ambalo ulimwengu wakijasusi awaliachi nikuweka moles ndani ya taasisi na kujuwa nn mnakifanya kwahiyo serikali za magahribi chini ya UK walitupeleleza na tuseme ukweli siri za uchaguz na mambo yanaendelea kwa chama chini ya JPM kila kitu kilikuwa wazi na nisiwafiche wazungu walijuwa rangi ya ccm na nini kinaendelea ktk ulimwengu wa ujasusi ndani ya taifa letu huku mataifa jirani wakitusaliti yes naweza sema hivyo sija muda wakueleza.
Nyerere ktk msemo unatumika sana leo alisema ccm sio baba wala mama yake alafu akasema watanzania wanataka mabadiliko na wakiyakosa ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm mwisho wakunukuu.
Mwalim akiwa hai aliona live kanuni za kuchaguwana ndani ya chama zinakuwa hacked na aliona kizazi kipya cha ndugu na wajomba kupeana chavu ndani ya chama na yote yanafanana mwalim mpaka anafariki mtu wa mwisho alimuanda alikuwa JK. Mzee wa Msoga yule alikuwa ameandaliwa ila yaliofuata Mungu anajuwa na malaika zake.
Ndugu zangu wa Tz mataifa ya magharibi yana ijuwa Tz kuliko tunavyo ijuwa na ktk moja ya sera za mwalim za siri ilikuwa ccm iwe chama dola ili kuepusha rasilimali na ardhi yetu kwenda kwa watu sio sahihi na hili ndani ya vyumba vya siri walilinuwia jambo hawakujuwa zile amri kumi za kule Arusha hazikuwatena na nguvu na hivyo kuwapa fursa watawala kufanya lolote watakalo pasipo kuwa na adhabu kama wenzetu wa china. Ccm nikama chama cha ukomboz wa china ila ccm haina taratibu na sheria kama za chama cha china jambo linakifanya chama kuwa hacked na mtu yeyote alie kikalia kiti.
Hapa palimtesa Nyerere mpaka anaingia kaburini. Kwanini ? Haingii akilini kwa sasa ccm wanalinda nini na kwa masilahi ya nani bado mikataba mibovu tunaingia na mataifa tofauti under sera yakutofungamana na upande wowote, watu wanapiga na huna jinsi yakuwashughulilia na mbaya kuliko yote jeshi lina ingizwa ndani ya siasa na Mungu akamtumia Mzee Warioba kusema hili. Chombo chochote cha siri kikitumika ndivyo sivyo huleta madhara makubwa ndani ya Taifa.
Watu waliona leo na tusije sema tupo hapa kwa bahati mbaya hapana nina uhakika ktk vyumba vya siri wapo magemedari wa jeshi na usalama wa Taifa waliona leo na wameshauri ila matumbo yatatugharimu. Niishie kwa kusema tukaze mikanda na tusifikiri eti chadema wakienguliwa tuta pita salama kama mnabisha ask Later Magufuli vile alijikuta kwenye mkwamo na shock alituachia na kurudi kwa baba baada ya maguvu yote akanasa kwa fikra zake na alie mtangulia akaona ngoja niingie njia hii ila na yeye anaenda kupokea nchi pale pale alipo toka mtangulizi wake yaani anaenda kutana na ile shock ilimkuta JPM term ya pili mwisho akatuacha kwa maswali mazito mpaka leo kwanini ktk ulimwengu wa kijasusi ka kitu kinawezekana na ogopa sana pale kila mtu anasema ndio hapo unakutana na giza maana wanaenda na kile unakipenda wapate mkate wao wakila siku ila wewe ndio unaona cha moto.
Watanzania wanataka mabadiliko na wakiyakosa wata yatafuta kwingije Mwl Nyerere
mimi naongezea na huko kwingine ukiwazuwia watakuacha peke yako je utaongoza miti, jua au watu... je utaongoza watu wana machungu ni hatari. Mungu ibariki Tanzania na watu wake na viongozi wake. Amen
.
Yeye mwenyewe alikuwa mbinafsi alijitengenezea vitu vya kumlinda alipo toka akaanza kuwananga wenzakeUko sahihi mkuu. Katuachia katiba yenye mambo mengi yanayo kipendelea chama chake. Angeyaondoa mapema na angetenganisha mihimili leo tusingekuwa na kulaumiana. Alijenga msingi mbovu.
Hukuona alichofanyiwa mwenyekiti ? Je unataka alete familia waiue ?Ni vibaraka wa kufa na kuzikana wa wazungu....
Ushahidi:
1. Familia ya mwenyekiti na baadhi ya viongozi wa juu zipo ulaya na zina uraia kabisa wa huko.
2. Mwenyekiti alikuwa mstari wa mbele kupinga miradi yote ya kimaendeleo ya kizalendo kwa kisingizio tutashitakiwa na wazungu (alitaka tuwaombe wazungu kwanza)
3. Mwenyekiti ananatetewa na wakili mzungu kutoka ulaya.......huu ni ukibaraka mkubwa sana (kwa mwenye akili lakini, kama huna tafadhali pita pembeni)
N.k
Tena mbinafsi saana. Sema sio wa mali.Yeye mwenyewe alikuwa mbinafsi alijitengenezea vitu vya kumlinda alipo toka akaanza kuwananga wenzake
Kama akina msoga gang ndiyo deep state, then hakuna jipya hapo!Deep state my foot.
Hiyo deep state is just an imaginary piece of crap ambayo ipo chini ya kima hizo hizo zinazotuingiza matatizoni.
Hv unapata wapi muda wa kuandika haya matope? Tafuta kazi ya kufanya we bwege, chadema kilichobaki ni siku ya mazishi. Eti watanzania tufunge mikanda bila ht haya? Hao wapuuzi wana uhusiano gani na watanzania?Jambo kubwa lipo nyuma ya Taifa baada ya ccm chama tawala kuingia kwenye msuguano mkali wa no reform no election. Upo msemo unasema ogopa akili ya mwanadam. Mwisho wakunukuu. Soku zote ktk dunia ilio staarabika kila kitu kinaendeshwa kwa siri na kwa akili.. Yes....
Urusi aliingia vitani akiamini ata maliza vita kwa week moja ila sasa tunaenda mwaka wa tatu... mrusi anapotexa watu. Rasilimali, rasilimali watu na mbaya kuliko yote anapigana na watu hawajuwi huku akiishi kama panya ktk taifa lake... cha ajabu mkuu wa usalama wa urusi alionya mbele ya hadhira taifa lisiende vitani nani anakumbuka? Sasa kwa wale ni mashabiki msio soma ulimwengu wa kijasusi bado mpo gizani na msijuwe CIA miaka mingi tangu kuisha kwa www2 alionya European ipo siku urusi itageuka na wasimwamini sana mrusi kwa gas na mafuta ya bei rahis ipo siku atavitumia kumega ardhi yao vita ipo.
Ndugu zangu watanzania kwa wale tunapenda geopolitics mtakubaliana na mimi cia walifanya kila walicho weza kumzuwia putin asiwe rais maana angeweza anzisha vita ya tatu ya dunia jambo Raia alie mkabidhi madaraka ameona kabla ya kifo chake na kwa wajuvi wa mambo wanahisi hii taarifa ya siri ilimtesa sana.
Niukweli usio kuwa na punje yavukweli kwa sasa ccm na taifa sote tupo njia panda ila uwenda kama European viongozi ndani ya chama na serikali wameamuwa kuwa blind pasipo chakata na kuzisoma report za TIS nakuzifafanua nakuangalia best way kuliendesha taifa miaka mia inakuja ili kuepusha shida na mateso kwa wa Tz.
Ndugu zangu Baba wa Taifa alikuwa visionalist aliona leo na ktk vyumba vya sili aliwaambia majeneral na wakuu wa Taifa kile kitaenda kutokea mbeleni alijuwa na aliona na ilimuuma sana moaka alipo tutoka.
Kwana kung'atuka kwake madarakani kwa wale mnakumbuka kuondoka kwa mwalimu nakuweka sheria pasitokee mtu kuingoza zaid ya term mbili ilikuwa wazo lakimagharibi na presha ya geopolitics sera za ujama zilikumbwa na misuko suko mikali sana jambo hili lilimfanya Mwalimu kuondoka ili asile matapishi yake na kutapika tena alikuwa mwana ujamaa kweli kweli aliona yale Kambona aliyaona na akamuadhibu kumbe nikweli na mzee wa watu kwa ugwana wake akang'atuka na kweli Mwinyi aliifungua nchi japo wakati ule hapakuwa na mziki wa siasa za sasa..
Mwalim akiwa hai akaona ndani ya chama kuna chama kinaibuka ndani ya chama yaani matajiri wamekiteka chama tunaweza sema oligach jambo hili lilimtesa mwalim maana dhima ya chama ni kwa wakulima na wafanyakaz wote sio mabwenyenye hapa akiwa hai akaona ccm ilio jaa matajiri na watu wenye nguvu ya pesa kushawishi mambo yao ndani ya chama na serikali hili lilimtesa mpaka akifika hatuwa kumrushia Mwinyi kombora anaendesha nchi kwa ushauri wa mke.. Tunafanyeje kupumua ndani ya chama mara paa likaja shinikizo lakuwa na serikali ya vyama vingi na hapa ndipo Baba wa Taifa akaja na wazo jipya turuhusu sera ya vyama vingi hapa mwalim aliona jambo lingine na walio madarakani hawakukubali sana ila kwa shingo upande wakakubali ila nia ya Baba wa Taifa ilikuwa kwanza watapata nguvu ya kupumua ndani ya chama maana wasaliti wataondoka nakuunda vyama na haya madude yenye pesa yatatoka na kwenda fadhili nguvu zao nje ya chama. Kumbukeni ccm ni chama ila chini ya Hayati bab wa Taifa ccm ilikuwa kama tis nje ya mfumo wa serikali na ndani ya serikali. Pia mwalimu hapa ndipo aliweza tumia majasusi ndani ya chama kutoka na kuunda chama kuwahadaa naweza sema serikali za mgharibi tuna uhuru wa kujieleza ila sivyo ilivyokuwa ndani ya taifa na kweli wazungu walichezeshwa sana sana ila jambo ambalo ulimwengu wakijasusi awaliachi nikuweka moles ndani ya taasisi na kujuwa nn mnakifanya kwahiyo serikali za magahribi chini ya UK walitupeleleza na tuseme ukweli siri za uchaguz na mambo yanaendelea kwa chama chini ya JPM kila kitu kilikuwa wazi na nisiwafiche wazungu walijuwa rangi ya ccm na nini kinaendelea ktk ulimwengu wa ujasusi ndani ya taifa letu huku mataifa jirani wakitusaliti yes naweza sema hivyo sija muda wakueleza.
Nyerere ktk msemo unatumika sana leo alisema ccm sio baba wala mama yake alafu akasema watanzania wanataka mabadiliko na wakiyakosa ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm mwisho wakunukuu.
Mwalim akiwa hai aliona live kanuni za kuchaguwana ndani ya chama zinakuwa hacked na aliona kizazi kipya cha ndugu na wajomba kupeana chavu ndani ya chama na yote yanafanana mwalim mpaka anafariki mtu wa mwisho alimuanda alikuwa JK. Mzee wa Msoga yule alikuwa ameandaliwa ila yaliofuata Mungu anajuwa na malaika zake.
Ndugu zangu wa Tz mataifa ya magharibi yana ijuwa Tz kuliko tunavyo ijuwa na ktk moja ya sera za mwalim za siri ilikuwa ccm iwe chama dola ili kuepusha rasilimali na ardhi yetu kwenda kwa watu sio sahihi na hili ndani ya vyumba vya siri walilinuwia jambo hawakujuwa zile amri kumi za kule Arusha hazikuwatena na nguvu na hivyo kuwapa fursa watawala kufanya lolote watakalo pasipo kuwa na adhabu kama wenzetu wa china. Ccm nikama chama cha ukomboz wa china ila ccm haina taratibu na sheria kama za chama cha china jambo linakifanya chama kuwa hacked na mtu yeyote alie kikalia kiti.
Hapa palimtesa Nyerere mpaka anaingia kaburini. Kwanini ? Haingii akilini kwa sasa ccm wanalinda nini na kwa masilahi ya nani bado mikataba mibovu tunaingia na mataifa tofauti under sera yakutofungamana na upande wowote, watu wanapiga na huna jinsi yakuwashughulilia na mbaya kuliko yote jeshi lina ingizwa ndani ya siasa na Mungu akamtumia Mzee Warioba kusema hili. Chombo chochote cha siri kikitumika ndivyo sivyo huleta madhara makubwa ndani ya Taifa.
Watu waliona leo na tusije sema tupo hapa kwa bahati mbaya hapana nina uhakika ktk vyumba vya siri wapo magemedari wa jeshi na usalama wa Taifa waliona leo na wameshauri ila matumbo yatatugharimu. Niishie kwa kusema tukaze mikanda na tusifikiri eti chadema wakienguliwa tuta pita salama kama mnabisha ask Later Magufuli vile alijikuta kwenye mkwamo na shock alituachia na kurudi kwa baba baada ya maguvu yote akanasa kwa fikra zake na alie mtangulia akaona ngoja niingie njia hii ila na yeye anaenda kupokea nchi pale pale alipo toka mtangulizi wake yaani anaenda kutana na ile shock ilimkuta JPM term ya pili mwisho akatuacha kwa maswali mazito mpaka leo kwanini ktk ulimwengu wa kijasusi ka kitu kinawezekana na ogopa sana pale kila mtu anasema ndio hapo unakutana na giza maana wanaenda na kile unakipenda wapate mkate wao wakila siku ila wewe ndio unaona cha moto.
Watanzania wanataka mabadiliko na wakiyakosa wata yatafuta kwingije Mwl Nyerere
mimi naongezea na huko kwingine ukiwazuwia watakuacha peke yako je utaongoza miti, jua au watu... je utaongoza watu wana machungu ni hatari. Mungu ibariki Tanzania na watu wake na viongozi wake. Amen
.
🚮Mseven mbona anatawala milele hawekei vikwazo ?
Kagame mbona anatawala milele hawekewi vikwazo ?
Kauli ya ukiua kwa upanga nawe utauliwa kwa upanga ina ukweli kiasi gani?Ukila nyama ya mtu hutoacha na ukiuwa kwa upanga nawe utauliwa kwa upanga, mwisho niseme akuna marefu yasiyokuwa na incha
Kwa nyundo hii, huyu MamaSamia2025 kuanzia kesho atabadili ID as fast as 🚨Hivi BABA yako yuko proud kabisa na hali yako ya kujiita mama? Huoni kama inatembea chini ya kivuli cha laana ya ushoga? Yaani rasmi umeunajisi ukoo wenu, sasa umekuwa ukoo wa mashoga, na mkizaa watoto wa kiume, wote watakuwa ******* na mabinti zenu watakuwa wasagaji,.kwakuwa tayari wewe umeuingiza ukoo wako kwenye laana ya mapenzi ya jinsia moja
Ningeshangaa kama kwa AKILI zako ungekuwa UMEELEWA . Kumbe sikuwa mbali na ukweli.Lakini mwalimu Nyerere alikemea sana ukibaraka, au sio?
40 hazitoshi liwe la uzani wa tani400Rungu kubwa tani 40 la EU on the way....
Aliwafunga na akili msiyatatue?Nyerere ndio chanzo cha matatizo mengi tanzania
Sishughuliki na mipunga saa hizi, pita kuleeeee.Ningeshangaa kama kwa AKILI zako ungekuwa UMEELEWA . Kumbe sikuwa mbali na ukweli.
Hujaelewa kilichoandikwa
Ficha upumbavu wakoKwa nyundo hii, huyu MamaSamia2025 kuanzia kesho atabadili ID as fast as 🚨
Mimi nilikuwa najua ni demu kiuhalisia. Kumbe MamaSamia2025 ni dume-shoga🤔🤔🤔????