PreGE2025 Chadema kutoingia kwenye Uchaguzi basi kama taifa tukaze mikanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nchi inaongozwa na maharamia na ndio maana hawataki watu wazuri na wasema ukweli,wao wanahitaji watu wanaofanya na kuratibu kazi za shetani wizi,ujambazi,ufisadi,utekaji na utoroshaji wa Mali za umma CCM inahitaji watu wa namna hiyo basi.
 
Hivi Samia akiamua kuolewa Uarabuni tutafanyaje, tuta chagua tena au ataendelea kututawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…