Chadema kutoka mjadala wa katiba

gogozito

Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
46
Reaction score
15
Kwa nini kila mbunge anayechangia lazima anaitaja chadema kasolo mh fatuma amejikita ktk mjadala .hapa kuna mawili
1.Wametoka nje ya mjadala
2.Ni jambo ambalo hawakutarajia chadema kutoka
 
wote wanaiogopa chadema wanajua mwisho wao upo karibu
 
kaka point nzuri,ila huku si mahara pake leta huku kwenye siasa hapa ni mambo ya biashara
 
wanaigopa chadema na wasiwasi umewajaa utadhani mtu aiyefanya mapenzi bila kinga. na badoo
 
dah! Kweli chadema mnaipenda sana,mpaka jukwaa la biashara mnaleta siasa! Na mods nao hawajaitoa kwasababu ni ya Chadema.
 
Umechanganya madesa mtoa mada. Huku ni biznes end ikonomik foram, siyo jukwaa la katiba
 
Mnataka waseme nini wakati wao wamejiandaa, wanaokubali muswada upite mikono juu CCM woooooote hureeeeeeeee! Hivyo hamna cha kuchangia kwa hiyo ndiyo maana soga ya CDM inakuwa ndiyo topic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…