CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

JPM mlikuwa na dawa ya kumpelekea mlipokuwa mnadai muambiwe aliko?
Jiwe alikuwa Rais wa nchi (japo ni kwa kuiba kura) Tuna haki ya kujua alipo.
Afya yake sio siri ya ccm, taarifa zake sio hisani kwa wananchi, ni haki yao.

Baregu si kiongozi wa nchi, ugonjwa na afya yake ni swala la familia.

Mataga ni wagumu sana kuelewa.
 
Mkuu pamoja mimi sipo kwenye mambo yenu ya siasa, lakini ni kuulize swali - kati ya hao wawili wewe huoni tofauti zao hata kidogo? Mmoja ni mwananchi na mwalimu wa chuo kikuu, anapenda siasa mwingine ni mwananchi namba1 na ni AMIRI JESHI WA NCHI, unadhani kati yao ni HABARI?
 
Baregu alikuwa rais wa wapi? Je mpaka anafariki alikuwa na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya cdm, mpaka cdm wawajibike kutoa taarifa zake kichama? Naona unalazimisha hata yasiyofanana ili kusawazisha ule upuuzi wa kipindichs dhalimu.
Comment yako inafikirisha Sana...NAONA UPO SAHIHI
 
Kwa maelezo haya nakuona Kama u MTU msomi na mwenye hoja zilizo somama
 
Wewe juha kabisa. Magufuli alikuwa Rais na public figure. Baregu alikuwa raia tu. Unaona tofauti iliyopo?
 
CHADEMA waliko welevu hebu wasome
 
Wewe juha kabisa. Magufuli alikuwa Rais na public figure. Baregu alikuwa raia tu. Unaona tofauti iliyopo?
Mkuu wewe na mapovu yako ukifa Katibu Mkuu wa Chadema hawezi andika hivi
 
Mkuu, hiki si chombo cha habari. Hoja yangu ni suala la kanuni. CHADEMA wanajipambanua kama chama cha uwazi ndani na nje ya chama. Walituonyesha hivyo wakati wa tatizo la JPM kwa kudai umma upewe taarifa. Walikuwa na wako sahihi. Kwa matinki hiyo tulitegemea kuugua na kulazwa kwa MWANACHAMA MWANDAMIZI NA MJUMBE WA KAMATI KUU kuwekwe wazi walau kwa wanachama wao.HAIKUFANYIKA.
Ni unafiki kuacha kutimiza sheria uliyoitunga wewe mwenyewe na kuwataka wengine watende kile ambacho wewe huwezi kukitenda.
 


Mkane Katibu wako mkuu maana mmezoea. Mliandika barua hivi hivi kwenda tume ya Uchaguzi ya kuwapendekeza wabunge wa viti maalum baadaye mkaikana.
 
Kwani wewe unasemaje?
 
Kuna uzi hapo una miaka miwili usome kaka acha kulaumu
 
Baregu alikuwa rais wa wapi? Je mpaka anafariki alikuwa na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya cdm, mpaka cdm wawajibike kutoa taarifa zake kichama? Naona unalazimisha hata yasiyofanana ili kusawazisha ule upuuzi wa kipindichs dhalimu.
umemjibu safi, anawashwa
 
Mk
Mkuu elewa kuwa JF ni miongoni mwa vyombo vya HABARI, ndio maana tunapashana habari humu. CDM wanapenda uwazi katika masuala ya uendeshaji wa shughuli za KISERIKALI na si katika masuala ya maisha ya watu wake. Kama ilivyo kwenye KUABUDU, kwamba Serikali haina Dini bali wananchi wake wa Dini zao haingili IMANI ZAO. Aidha Prof. alikuwa mwananchi wa kawaida kama mimi na wewe na wengine ambao masuala kama haya huishia ngazi za familia na ukoo. Hayati Magufuli (RIP) yeye alikuwa MWANANCH AU RAIA No 1, AMIRI JESHI MKUU, na vyeo hivyo tumempa sisi Wananchi, hivyo tuna kila sababu ya kuhoji alipo raia huyo. NB: Fahamu kuwa hatuhoji kwa sababu ya kuwa ni JPM la hasa ni kwa sababu ya vyeo vyake.
 
Ni sawa kabisa- UNATAKA KUTWAMBIA JPM HAKUWA NA FAMILA? HAKUITAJI FARAGA?
Ukishakua rais wa nchi unakua sio Mali ya familia tena hadi utakapo staafu kwa hiyo kila anchofanya inakua ni kwa niaba ya taifa ndio maana kuugua kifo mazishi sio jukumu la kifamilia ni wajibu wa taifa hata km familia yake ingekua tajiri saana lkn anazikwa kwa kufata talatibu za nchi
 
Je ukiwa mwanachama mwandamizi na mjumbe wa kamati kuu ya chama kama CHADEMA ni zipi stahiki zako ndani ya CHAMA?
 
Inawezekana kabisa hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema aliewahi kwenda kumjulia hali marehemu
 
Inawezekana kabisa hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema aliewahi kwenda kumjulia hali marehemu
Angekuwa amekamatwa na polisi
1. wangeandamana wote kwenda kituoni na kulazimisha kumtoa;
2. wangenda ICC;
3. wangeenda ubalozi wa Ujerumani, Jumuia ya Ulaya;
4. wangeandika proposal za kuombea hela kwa kutumia picha yake;
5. askofu Bagonza angeshaandika kitu
 
Mkuu Prof. Baregu alikuwa raia wa kawaida? Unataka tuamini hivyo?
Sababu ya kuandika hii hapa chini ni nini? Mungu akikuita kwake -utapata bahati ya kutendewa haya na chama chako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…