Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,378
- 1,866
Jiwe alikuwa Rais wa nchi (japo ni kwa kuiba kura) Tuna haki ya kujua alipo.JPM mlikuwa na dawa ya kumpelekea mlipokuwa mnadai muambiwe aliko?
Afya yake sio siri ya ccm, taarifa zake sio hisani kwa wananchi, ni haki yao.
Baregu si kiongozi wa nchi, ugonjwa na afya yake ni swala la familia.
Mataga ni wagumu sana kuelewa.