Elections 2010 Chadema kuutwaa uspika?

Status
Not open for further replies.
Modern morality and manners suppress all natural instincts, keep people ignorant of the facts of nature and make them fighting drunk on bogey tales.
 
huyu mama ana kiburi kuliko wanawake wote, ccm wanataka kuharibu bunge; wanafikiri watawakaanga wapinzani kwa kumuweka yule mama kumbe wanajipiga kiberiti wao wenyewe. pona yao ilikuwa kumweka sitta, kwa kumweka huyo makinda, wanajilipua. mmama mwenye kiburi, na asiye na mume, si unajua hao wanawake wasio na mume walivyo wachungu na wababe kwa wanaume, kwasababu hawajui uchungu na uthamani wa kuwa na mwanaume...so wanafikiri sote tuko sawa ati...nakuambia atawanyamba wabunge wanaume mle bungeni hadi watakoma, ataleta gender inferiority yake pale na ataharibu kabisa bunge. kwanza atuambie kwanini anaishi bila kuolewa...anaishije.
 
Hizo kura ni za siri au ni zile za kumhoji mbunge mmoja mmoja? Maana uchaguzi wa spika ni CCM versu UPINZANI; hakuna jinsi upinzani unavyoweza kushinda

Kura ni za siri,
Kama ulikuwa msomaji mzuri wa magazeti utakumbuka kwamba Zitto Kabwe na Marehemu Amina Chifupa walijigundua wote ni majasiri siku walipopewa fursa ya kuhesabu kura.

Ni kuanzia hapo waliomo bungeni walipoanza kufuatilia kama kuna uhusiano wowote kati yao.
 

Mkuu hebu tumegee zaidi hapo kwenye blue
 
Marando anaweza kuwekewa Pingamizi:
Marando anaweza akapata pingamizi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kigezo cha kisheria kuwa mgombea uspika asiye mbunge anapaswa kuwasilisha maombi yake kwa Tume ya Uchaguzi siku mbili kabla ya bunge kufanya mkutano wake wa kwanza, na Tume ndiyo inayotakiwa kuwasilisha jina hilo kwa bungeni. sasa km upinzani ulikaa na kuteua jina lake siku moja kabla...sijui!!! lakini chochote kinaweza kutokea.
 

Tatizo la CCM wanafikiri watatawala milele, kumbe sivyo.
 

Hivi huwa anatabasamu kweli?
 
Modern morality and manners suppress all natural instincts, keep people ignorant of the facts of nature and make them fighting drunk on bogey tales.

Fafanua wengine Ngumbalu humu JF ..HALAFU UMEKAKOPI SEHEMU FULANI ..Wewe mwenyewe kweli unajua maana yake?
 
Kwani upigaji kura kwa ajili ya spika unafanyikaje? Ni kura za siri au ni kura za wazi?
 


 
Mnacheza nyie Piga ua garagaza CCm watashinda tena kwa kishindo. Jamani si mmeona juzi tu hapa wameshindwa kwa kishindo lakini wakafanyaje?............... wakashinda kwa kishindo. sasa watashindwa kauchaguzi kadogo hata ka watu hawazi hata 300? tena wapomahali pamoja? Ni mchakachuo kwenda mbele ..... kwanza hata hili tu la kumweka Anne limepangwa kwa hivyo ni lazima wasimamie mpango wao.
 
let them choose whoever comes there iz the work to do for tanzanian. viva tanzania
 
Hivi wewe unamjua Mabere Marando??????????????? Anawajua hawa wachakachuaji!!! Tundu Lisu ndiye atakuwa wakala wake, sijui watapenyea wapi kuchakachua!!!! Pipooooooooooz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 

Wishful thinking.
 

Waheshimiwa ni vyema kuwa na matumaini lakini hili la wabunge wa CCM kumpigia kura Mabere Marandi mimi naona kama ni ndoto za mchana. Kwa ufupi hilo haliwezekani kwa sababu genge la mafisadi wa CCM haliwezi kuruhusu hilo likatokea.
 
wabunge wa ccm wapige kura ya chuki

Hawawezi kupiga kura za chuki kwa sababu hawana chuki na mfumo wa kifisadi wa chama chao. Hizi ni ndoto tu za mchana za watu ambao hawako ndani ya CCM.
 
i wish this to happen.......But it remain only wish to me!
hakuna swala la kura kuibiwa hapa, uchakachuaji hapo ni 0%. CCM watapiga kura za kichama, japo ni kweli kuwa baadhi ya CCM watapiga kura za chuki na wengine watapiga kura za anti-mafisadi. Zote hizi zitaongeza kura za Marando japo zipo za wapinzani wengine ambao hawatampigia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…