Elections 2010 Chadema kuutwaa uspika?

Status
Not open for further replies.
kwa jinsi mkanganyiko ulivyojitokeza kuhusu namna na uundwaji wa kambi ya upinzani bungeni basi nafasi na Mabere inakuwa ndogo sana hasa ukizingatia vyama vingine vya upinzani watakuwa upande wa CCM.

Niliposikia jina la Nyatonga kashinda ubunge nikajua tayari fitna zilishafika bungeni, huyu mzee nahisi ndiyo chanzo cha haya yote. Mzee wa fitna.
 
Thubutu! zzm hawako tayari kuuona mwisho wao, si wameona upinzani mkali walio upata kutoka CHADEMA.tatizo la zzm hawawezi kuukubali uzuri wowote wa wapinzani,Ana Mak atalinda maslahi yao si mnajua yeye ni tofauti sana na S Sitta.Sitta alisimamia ukweli ambao kwa zzm wanasema ni uzushi,uchochezi na mengineyo mabaya ili mradi tu wa kudanganyika na wadanganyike.
 
Kwa mtazamo wangu MARANDO ndiye anayefaa zaidi kuwa Spika wa Bunge baada ya kutoswa SITTA (kwa hila za mafisadi). Iwapo wabunge wetu kweli ni wawakilishi wa wananchi, na wapo pale kulinda maslahi ya wananchi waliowatuma, ni wazi watampigia kura MARANDO na kumtosa ANNE MAKINDA ambaye dhahiri ni chaguo la mafisadi wanaotaka kujipanga kwa uraisn 2015.
 
Pia kama wabunge watakuwa na "taifa kwanza chama baadae" huyu mama hana chochote cha kulinganisha na Marando, kuanzia uelewa wa kujieleza pamoja na uongozi! Kama ilivyo kwa watanzania huwa tunaangalia zaidi ushabiki bila kujali uwezo!!
 
lakini kama amechaguliwa kwa zaidi ya kura 200 na hao hao CCM, sidhani kama itakuwa rahisi wageuke ndani ya masaa machache...
 

Nani ataoa mwanamke ambaye hata akifunga mdomo meno bado yako nje!!!!
 
Lakini kwa hali ninavyoiona siyo rahisi Marando kupata nafasi. Ngoja tuone.
 
Kwa hili la spika kwa kweli sina mengi ya kuongea nasubiri maamuzi ya waheshimiwa sana huko mjengoni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…