johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo siku zote hizo walikua Bungeni kihalali mpaka hiyo kesho itakapo pelekwa hiyo barua rasmi ya kuwavua uanachama kwa Spika?Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binsdamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Source BBC
RufaaKwahiyo siku zote hizo walikua Bungeni kihalali mpaka hiyo kesho itakapo pelekwa hiyo barua rasmi ya kuwavua uanachama kwa Spika?
Mnyika alishaandika barua kutokana na uamuzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua ubunge. Baada ya C-19 kukata rufaa na Baraza Kuu kuridhia uamuzi wa Kamati Kuu wa kuwavua madam aka, hapo ndo Mnyika anaandika barua nyingine.Kila mtu ana historia yake. Lakini maamuzi yaliyofanywa na CDM ni maamuzi makini.
Unaweza kuleta nakala ya hiyo barua?Mnyika alishaandika barua kutokana na uamuzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua ubunge. Baada ya C-19 kukata rufaa na Baraza Kuu kuridhia uamuzi wa Kamati Kuu wa kuwavua madam aka, hapo ndo Mnyika anaandika barua nyingine.
Watawashauri waende mahakamani ?Mkurugenzi wa kituo cha haki za binsdamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Watawashauri waende mahakamani ?
Chadema wanalitambua Bunge baada ya JPM kufariki ?
Kwa kweli wanashangaza sana, CCM walitaka bunge la Chama kimoja, wakafukuza mawakala wa upinzani, wakachapisha kura bandia, wagombea wa CCM ndo wakawa sahihi kujaza fomu, wa upinzani hawajui kujaza, kupita bila kupingwa kwa CCM kukashamili, yote lengo ni bunge la Chama kimoja. Sasa leo, hawa wa Chadema wanatetewa na CCM? Kweli? Maajabu hayataisha duniani.Kwanini CCM mmeumia ili hali mlitaka Bunge la chama kimoja?
Hawalitambui, unakonda kwani?
Kwani hawajui huko ndio ofisini kwa Kibatala?Watawashauri waende mahakamani ?
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binsdamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Source BBC
Unauliza vitu vya kipuuzi ndio maana unajibiwa kulingana na upuuzi wakoWewe ndio unajiona una uwezo mkubwa wa uelewa?
Ungekua unaulewa ungejibu nilichokiuliza,maana hiyo comment ya ni swali nimeuliza,
Uwe unasoma comment na kuielewa kabla ya kukurupuka na kuanza kuharisha hovyo hapa.
Walikata rufaa Baraza Kuu hivyo ilibidi wapewe haki ya kusikilizwa kwanza. Baraza kuu limekaa na kutupilia mbali rufaa yao. Muwage mnafatilia mamboKwahiyo siku zote hizo walikua Bungeni kihalali mpaka hiyo kesho itakapo pelekwa hiyo barua rasmi ya kuwavua uanachama kwa Spika?
Ze baptist inaonekana una huruma sana kwa COVID-19 🤔Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Source BBC
Don't be negative, barua ya Chadema kuwafuta uanachama itapokelewa na Bunge kwa mikono miwili. Kama hawakwenda mahakamani, then Spika atawavua Ubunge na kuiarifu NEC nafasi hizo ziko wazi na Chadema wapeleke majina mengine 19.Katibu wa Bunge atatia kufuli ofisi yake.
Kwa kifupi tusubiri vituko na vioja kutoka kwa Spika na Katibu wa Bunge kuhusiana na hili sakata.