abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Source BBC
barua ya kuwavua uanachama si nimesikia inapelekwa Bungeni?
Kwa mujibu wa andiko lako nimeliona sehemu huu ndio muda wa vimada na watoto kutinga bungeni si ndio?Don't be negative, barua ya Chadema kuwafuta uanachama itapokelewa na Bunge kwa mikono miwili. Kama hawakwenda mahakamani, then Spika atawavua Ubunge na kuiarifu NEC nafasi hizo ziko wazi na Chadema wapeleke majina mengine 19.
P
Wakienda Mahakama I wataruhusiwa kuendelea " kuingia" bungeni?Don't be negative, barua ya Chadema kuwafuta uanachama itapokelewa na Bunge kwa mikono miwili. Kama hawakwenda mahakamani, then Spika atawavua Ubunge na kuiarifu NEC nafasi hizo ziko wazi na Chadema wapeleke majina mengine 19.
P
ZunguSpika wa binge ndyo nan bwashee?????
Hujaelewa swali langu mkuu,Walikata rufaa Baraza Kuu hivyo ilibidi wapewe haki ya kusikilizwa kwanza. Baraza kuu limekaa na kutupilia mbali rufaa yao. Muwage mnafatilia mambo
Umeamka na bapaChadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Source BBC
Zinapokelewa masjala siyo na Spika wala Katibu wakeKatibu wa Bunge atatia kufuli ofisi yake.
Kwa kifupi tusubiri vituko na vioja kutoka kwa Spika na Katibu wa Bunge kuhusiana na hili sakata.
Hawakuwa na uhalali wowoteHujaelewa swali langu mkuu,
Mimi nilitaka kujua kua wakati wao wamekata rufaa na kusubiri hukumu ya Baraza kuu,kwa muda huo waliokua wanasubiri rufaa yao ina maana walivyokua bungeni ilikua ni halali kwao kua bungeni?
MbegeUmeamka na bapa
Kamuulize Andunje!Unaweza kuleta nakala ya hiyo barua?
Mahakama, hata siku moja haishughuliki na masuala ya uwanachama wa chama cha siasa ya mtu yeyote.Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
Source BBC
Haya mambo yanachanganya sana. Lakini, kwakuwa kinachohitajika ni "watu wasio wao wakose Ubunge ili watu wao wapata Ubunge" watalishupalia kweri kweri!Kwahiyo siku zote hizo walikua Bungeni kihalali mpaka hiyo kesho itakapo pelekwa hiyo barua rasmi ya kuwavua uanachama kwa Spika?
Sidhani kama tafsiri hiyo ni sahihi. Kiuhalisia maana yake wanapeleka barua hiyo ya kuwavua uwanachama kwa mara ya pili ili kuweka kumbukumbu sawia namna Tanzania tunavyokiuka sheria na katiba yetu. Japo katiba ni mbovu, lakini ukiukwaji ndio tatizo kubwa kuliko ubaya wa katiba.Kwahiyo siku zote hizo walikua Bungeni kihalali mpaka hiyo kesho itakapo pelekwa hiyo barua rasmi ya kuwavua uanachama kwa Spika?
Wanalitambua Bunge, maana limetajwa kwenye katiba. Wasiotambulika ni wahuni ambao marehemu aliwapa ubunge kwa faida yake binafsi.Chadema wanalitambua Bunge baada ya JPM kufariki ?
Kwani Bunge limewahi kufutwa? Bunge ni chombo cha kikatiba. Usichanganye Bunge na wahuni walioingizwa na dikteta Magufuli kuwa wabunge.barua ya kuwavua uanachama si nimesikia inapelekwa Bungeni?
Ndiyo maana ulichelewa kulipwa poshoMbege
Haikuwa halali ila kwa sababu tulikuwa kwenye utawala dhalimu, iliwezekana hilo.Hujaelewa swali langu mkuu,
Mimi nilitaka kujua kua wakati wao wamekata rufaa na kusubiri hukumu ya Baraza kuu,kwa muda huo waliokua wanasubiri rufaa yao ina maana walivyokua bungeni ilikua ni halali kwao kua bungeni?