Mbona vyama viko vingi, kwanini wasiende chapa ya jogoo wakakiongezee chati chama!!!Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia
CHADEMA haijawahi kutambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 wala wabunge wa Bunge la 2020. Aidha, wamesikika wakidai wao hawana mbunge kwenye bunge hilo. That’s clear.inawezekana usitambue Matokeo ya Uchaguzi Mkuu halafu ukatambua waliochaguliwa?…hata chanzo cha kuibuka kwa hao wabunge ni chadema kugomea kupeleka majina kwa kuwa hawatambui matokeo ya uchaguzi
Umepotoka ndugu, tafuta taarifa sahihi.Katiba ya chama inasemaje ndo iwe hitimisho la yote? 😁😁 chama ni kikundi kinachorun kwa kufuata taratibu za usajili wa vyama kwa mjibu wa sheria, mi naamini katiba ya chadema haiwezi kuwa final say mahakamani. Mahakama haiamui kufuata katiba ya chama bali sheria na taratibu za nchi katika siasa.
Chadema waliwahi kukili kutoutambua uchaguzi uliolileta Bunge la JM wa Tanzania la sasa. Hii Barua yao ni ishara ya kuukubali uchaguzi mkuu uliolileta Bunge hili tukufu kwa awamu nyingine?Don't be negative, barua ya Chadema kuwafuta uanachama itapokelewa na Bunge kwa mikono miwili. Kama hawakwenda mahakamani, then Spika atawavua Ubunge na kuiarifu NEC nafasi hizo ziko wazi na Chadema wapeleke majina mengine 19.
P
Hii ya Chadema kama chama kutoa kauli za kutotambua matokeo ya uchaguzi, kutolitambua Bunge, na kutumtambua rais, huku unaliandikia Bunge barua rasmi za kiofisi, na Mwenyekiti wake na M/Mwenyekiti wakimtambua Rais na kufanya juhudi kubwa kumuona, kuzungumza nae kuhusu matatizo yao na Samia alivyo muungawana, sio tuu aliwakubalia, bali pia aliwakubalia kuwasaidia shida zao, fulani fulani, Lissu amesaidiwa, Mbowe anasaidiwa na Chadema inasainiwa na mfano mzuri ni kilichotokea baada ya Rais Samia kukutana na Lissu, mnajua Kilichopelekea na juzi kati kabla ya Kikao cha Baraza Kuu, Mwenyekiti wa Chadema, alibisha hodi Ikulu kumuona Rais Samia kwa ajili ya kumshukuru kwa jambo fulani, viongozi wa Chadema wanajua ila wana Chadema hawajui.Chadema waliwahi kukili kutoutambua uchaguzi uliolileta Bunge la JM wa Tanzania la sasa. Hii Barua yao ni ishara ya kuukubali uchaguzi mkuu uliolileta Bunge hili tukufu kwa awamu nyingine?
Chadema kama chama cha upinzani kilichosajiliwa ni kipo, lakini kama chama cha upinzani makini kinachosubiri kukabidhiwa nchi hii, kwa Chadema ni bado sana, hamna kitu pale!.Tunakazi ngumu kama Taifa kupata chama cha upinzani kitakachoweza kuikosoa serikali badala ya kuendelea kujipigania kwa mambo yao binafsi ya kichama.
Well said PHii ya Chadema kama chama kutoa kauli za kutotambua matokeo ya uchaguzi, kutolitambua Bunge, na kutumtambua rais, huku unaliandikia Bunge barua rasmi za kiofisi, na Mwenyekiti wake na M/Mwenyekiti wakimtambua Rais na kufanya juhudi kubwa kumuona, kuzungumza nae kuhusu matatizo yao na Samia alivyo muungawana, sio tuu aliwakubalia, bali pia aliwakubalia kuwasaidia shida zao, fulani fulani, Lissu amesaidiwa, Mbowe anasaidiwa na Chadema inasainiwa na mfano mzuri ni kilichotokea baada ya Rais Samia kukutana na Lissu, mnajua Kilichopelekea na juzi kati kabla ya Kikao cha Baraza Kuu, Mwenyekiti wa Chadema, alibisha hodi Ikulu kumuona Rais Samia kwa ajili ya kumshukuru kwa jambo fulani, viongozi wa Chadema wanajua ila wana Chadema hawajui.
Chadema kama chama cha upinzani kilichosajiliwa ni kipo, lakini kama chama cha upinzani makini kinachosubiri kukabidhiwa nchi hii, kwa Chadema ni bado sana, hamna kitu pale!.
P